Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,982
Mwenzake Lowassa ameenda kuchunga ng'ombe yeye anang'ang'ania tu kuingia Ikulu!Seif mbali na afya, sasa amezeeka. Apumzike kugombea Urais mara 5 inatosha.
Mwenzake Lowassa ameenda kuchunga ng'ombe yeye anang'ang'ania tu kuingia Ikulu!Seif mbali na afya, sasa amezeeka. Apumzike kugombea Urais mara 5 inatosha.
Kama Yule Anayeng'ang'ania Ikulu, Huku Akijua Wazi Hii Ni Ya 2 Anapigwa Ktk Uchaguzi!!!HIVI BADO YUPO HUYO MKURUNZIZAR WA CUF!!!?
Hivi kumbe bado ni makamu wa rais Shein!!? Kwa hiyo kugomea uchaguzi ni kuzuga tu!Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam kuelezea maendeleo ya afya yake.
Amesema anaendelea vyema baada ya jana kuugua ghafla na kulazwa katika hospitali hiyo.
Amewashukuru wananchi ndani na nje ya nchi kwa kuonesha mapenzi na ushirikiano makubwa.
Anatarajiwa kutoka hospitalini hapo leo jioni (Picha na Salmin Said, OMKR)
naunga mkono hoja hii 100/%Seif mbali na afya, sasa amezeeka. Apumzike kugombea Urais mara 5 inatosha.
Nkurunzinza hapa ni SHEIN na CCM yake, hawa ndio wanaopambana kubaki madarakani wakati wananchi hawawataki.HIVI BADO YUPO HUYO MKURUNZIZAR WA CUF!!!?
HIVI BADO YUPO HUYO MKURUNZIZAR WA CUF!!!?
Endeleeni kuvizia mkono udondoke ili muupitie km fisi!! Poleni sana..Mwenzake Lowassa ameenda kuchunga ng'ombe yeye anang'ang'ania tu kuingia Ikulu!
Akina nani mkuu?Endeleeni kuvizia mkono udondoke ili muupitie km fisi!! Poleni sana..
Yarudie tena kuyasoma maelezo yako niliyokujibu kwa umakini mkuu!!Akina nani mkuu?
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam kuelezea maendeleo ya afya yake.
Amesema anaendelea vyema baada ya jana kuugua ghafla na kulazwa katika hospitali hiyo.
Amewashukuru wananchi ndani na nje ya nchi kwa kuonesha mapenzi na ushirikiano makubwa.
Anatarajiwa kutoka hospitalini hapo leo jioni (Picha na Salmin Said, OMKR)
Wewe ni mke wake mpaka uujue uzee wake?Seif mbali na afya, sasa amezeeka. Apumzike kugombea Urais mara 5 inatosha.
Hahaha...eti kafanyajwe?Kama Huku Bhana, Tumesikia Hbr Mbaya Kuwa Eti UCHOKO Wako Umesababisha Upigwe Mtungo!!