Maalim Seif awasilisha rasmi kabrashi la matokeo ya uvunjaji wa haki za binadamu UN

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482


Kwa ufupi Katika kabrashi hilo lenye kurasa nyingi na ushahidi wa vielelezo vya picha za victims na matokeo yalipo tokea na majina ya walio asirika na kwa wale walio tangulia mbele ya haki kumekua na majina ya familia zao.

Maalim alipota mualiko wa kuonana na muhusika mkuu wa kitengo cha haki za binadamu UN ili kumueleza na kumkabidhi kabrashi hilo na kumuomba alifanyie kazi na kutuma watalamu Zanzibar kujionea wenyewe na kuonana na wasirika kwa kupata usghahidi zaidi kutoka kwao.

Hatuo hii imechukuliwa zidi ya walio husika na uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa ukatili zidi ya raia wakawaida.

Maalim alitoa changamoto lakumuomba muhusika wa kushuhulikia haki za binadamu katika mazungumzo yao alete jopo la watalamu na kuja zanzibar kufuatilia uvunjwaji wa haki za binadamu na wao cuf watatoa ushirikiano wote pindipo wakihitajika.

Ziara ya Maalim ya Mualiko wa CSIS nchi Marekani imeleta mafanikio makubwa na kuweza kutambulishwa na watu wengi machihuri na kupata fursa ya kubadilishana mawazo na watu mashihuri na wenye upeo mkubwa .

Akiondoka hapo USA na ujumbe wake ataelekea taifa jirani la Marekani Yani Canada kwa musliko rasmi na kuonana na viongozi mashihuri na kubadilishana mawazo na badae ataingia bara la ulaya kuonana na viongozi wa EU na akiondoka ulaya ataelekea bara arabu na kwa safari ya kurudi nyumbani Zanzibar.

WhatsApp-Image-20160613.jpg


13450973_1041243115967724_399307915543613716_n.jpg
 
Mbona sioni hayo makabidhiano? au ilikua ni siri kama vikao alivofanya ikulu Zanzibar?
 
Back
Top Bottom