Maalim Seif 'aunguruma' Manzese - Dar

Maalim Seif 'aunguruma' Manzese - Dar

Kwakuwa wamemfukuza HR na wenzake nimeanza kuamini hakuna chama cha maana Tanzania; kulikuwa na haja gani ya kumfukuza busara gani ilishindikana kabisa kutumika..

Nilikuwa namuamini Seif lakini nimeanza kuweka alama ya kuuliza?? i am watching him closely

Topical at last you make point
 
Huyu sijui anakuja bara kufanya nini? Hivi hao wakazi wa Manzese wamekosa Utaifa wao kiasi kwamba wanakwenda kumsikiliza mtu huyu ambaye kasahau kwamba CUF ni chama cha Watanzania na sio Wapemba au Wazanzibar...

Leo hii bara kuna population kubwa ya Wazanzibara kuliko idadi ya watu wote visiwani, badala ya chama kutazama maswala yake ya uwakilishi kwa mapana ya Kitaifa, wamekuja na utengano kufukiria mipaka ya nchi badala ya WATU na maslahi yao kuwa kigezo cha kulindwa. Na ikiwa malengo ya CUF ni Uhalali wa Zanzibar kama nchi anafuata nini bara?..maana kisha kigawa chama na kuwa chama cha Visiwani na kwa maslahi ya wanaoishi visiwani..
 
Isitoshe anaongoza agenda maalum ya kutaka Mzanzibar aje atawale bara.
 
Naamini katika mkutano akina mama hawataruhusiwa kuchanganyika na kinababa.Pia baraghashia zitajaa mkutanoni

watu kama nyinyi binafsi huwa mnanikera sana, huwa sioni haja ya kutukana imani ya mtu hata mahali pasipostahili mbona sie tunawaheshimu jamani eeh!
 
wakitoka ibada ya magharibi watakuja kujibu

mkubwa mtu ukiona anakuheshimu na wewe kuwa mvumilivu kwa kumjengea heshima. Kifupi sifurahishwi na jinsi unavyo ima kuchezea au kudharau imani yangu/yetu waislamu. Ukijiheshimu utaheshimiwa.
 
quote_icon.png
By Molemo

Nakuunga mkono kabisa. Hapa anayejadiliwa ni Seifu na si vizuri hata kidogo kuingiza mambo yasiyohusika. Ni lazima tuheshimu dini na imani ya kila mmoja wetu!
 
na hawa wanao wasikiliza viongoz wa chama hiki mmmh wakapimwe akili.

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia mamia ya wafuasi wa chama hicho kwenye viwanja vya Bakhresa, Manzese Argentina, jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo, pamoja mambo mengine, Hamad ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar alitetea uamuzi wa chama chake kuwatimua wanachama wake wanne, akiwamo Mbunge wa Jimbo la Wawi, Hamad Rashid Mohammed. (Picha na Mohammed Mambo).

Kumbwee Wa Tanganyika bado tunampenda kiongozi wetu shujaa Maalim Seif....anaetusaidia kulirudisha taifa letu la Tanganyika..angalia umati wa watu hao :A S 465:
 
wanachama wake wengi wamevaa nini kichwani?

Mwanadamu ndivyo alivyo kitabia ukionja kufanyiwa kitu kibaya maishani na ukapata nafasi utapractice na wewe uwafanyie wengine,da!!hapo HR inabidi uhame chama ngoma ilipofikia kupasuka ni muda wowote.
 
Seif hajaunguruma, katalii tu, uwezi kuunguruma huku umejifunika kwenye shuka la mwenzio AKA CCM
 
Back
Top Bottom