1. INASTAABISHA, mtu mwenye sifa, maarifa, na mdadisi kama wewe mpaka leo humjui mfadhili wa CUF.mfadhili mkuu wa CUF ni nani, kulikopelekea hata CUF ishinde vipi hakuna kupewa
Swadakta!, nimeipenda hii ya "wakuja", mgeni aliyetoka kwao Oman akaja Zanzibar na kuzaliana, sasa ndio Zanzibar pamekuwa kwake, na mwenyeji aliyemkaribisha, ambapo ASP ndicho chama cha wajukuu wa Mwinyimkuu, wao wenye nchi yao sasa ndio wanaitwa wakuja!.1. INASTAABISHA, mtu mwenye sifa, maarifa, na mdadisi kama wewe mpaka leo humjui mfadhili wa CUF. Mfadhili mkuu wa CUF ni wazanzibari wazawa, walioikataa ASP siku ya Ameir Tajo na Moh'd Shamte walipojiengua na chama hicho na kuunda ZPPP. Waliikataa ASP kwasababu ya sera zake za kuwakumbatia "wakuja" na wataendelea kuikataa ASP ( CCM) hata itawale mfululizo kwa miaka hata 200 kama walivyotawala wareno, lakini haitaweza kuzibadilisha nyoyo za wazanzibari khusu kisiwa chao.
2. Kulikopelekea ishinde vipi hakuna kupewa: Kuna mtawala mwengine alioitia Zanzibar kwapani. Pamoja na kuwatumia wazanzibara na kutumia umwamba wake wa kubeba rocket launchers mabegani, na vifarui mitaani wakati wa kampeni na uchaguzi havikuweza kuteteresha imani ya wazanzibari wazawa juu ya chama na viongozi wanaowataka. Mtawala huyu anaringia uwezo wa kijeshi wa (45:1) na Zanzibar inaringia uzalendo uliotukuka, ujasiri na ustahamilivu na uchamungu wa wazanzibari!
Pasco bana! Umewatwanga penyeweSwadakta!, nimeipenda hii ya "wakuja", mgeni aliyetoka kwao Oman akaja Zanzibar na kuzaliana, sasa ndio Zanzibar pamekuwa kwake, na mwenyeji aliyemkaribisha, ambapo ASP ndicho chama cha wajukuu wa Mwinyimkuu, wao wenye nchi yao sasa ndio wanaitwa wakuja!.
Zanzibar sio kama Marekani, wageni watasubiri sana!.
Ila pia nashukuru kumbe watu hawawajui wafadhili wakuu wa CUF, wangewajua ndipo wangejua kwa nini CUF anashinda lakini hapewi!. Endelea kujifariji kuwa wafadhili ni hawa wageni wakaazi!, lila bango la maskani Kisonge limesema ukweli japo mchungu!, ndio ukweli wenyewe!.
Pasco
Nzuri, mpigieni makofi.Lakini ingekuwa "more factual and sensible" kama ungeandika na kutafakari baadae kama hivi:mgeni aliyetoka kwao Oman akaja Zanzibar na kuzaliana, sasa ndio Zanzibar pamekuwa kwake, na mwenyeji aliyemkaribisha, ambapo ASP ndicho chama cha wajukuu wa Mwinyimkuu, wao wenye nchi yao sasa ndio wanaitwa wakuja!.
Kwa hiyo wakati wa oman walipofika zanzibar,walimkuta nami hapo kisiwani? au kulikuwa hakuna mtu? Sababu wengi wanaongelea waamiaji kutoka Oman na kutoka bara, je natives wa zanzibar ni nani??.Nzuri, mpigieni makofi.Lakini ingekuwa "more factual and sensible" kama ungeandika na kutafakari baadae kama hivi:
" Mgeni aliotoka Oman 1698 akaja Zanzibar na kuzaliana sasa ndio pamekuwa kwake , na mwenyeji aliemkarabisha, ambapo Shirazi Association (1930) ndio chama cha wajukuu wa Mwinyimkuu, wao wenye nchi yao na African Association walikuja baada ya " Siti binti Saad" kuimba kwenye mapema 1900, kuwa " Zanzibar ni njema atakae aje" wanaitwa wakuja ambao wengi wao ni makuli wa bandarini kutoka bara na chimbuko la African Association"
Kisa cha kuhitalifiana Thabit Kombo wenzake Sheikh Ameoir Tajo na Moh'd Shamte ni kukubali muungano wa chama chao kiongozwe na " Mkuja" Karume, na wakaona hilo haliwezekani, wakajitoa kwenye chama cha ASP(1957) na kuunda chama chao ZPPP kilicho weza kuzaa uhuru mwaka 1963 N kutoa Waziri Mkuu wa kwanza mzawa Mo'hd Shamte.
Lowasa ataenda Uingereza subiri tuHizi kasoro za,uchaguzi hazikufanyika Zanzibar peke yake hata huku bara vipi Lowassa mbona umekuwa kimya hivyo?
Hivi wewe burushi kwa akili zako Mtu mweusi kutoka pwani ya Afrika mashariki alizuiwa na nani kuweka makazi katika visiwa vya pemba na Unguja mpaka akasubiri kuja kwa waarabu ndipo kwenda kuishi visiwani humo?1. INASTAABISHA, mtu mwenye sifa, maarifa, na mdadisi kama wewe mpaka leo humjui mfadhili wa CUF. Mfadhili mkuu wa CUF ni wazanzibari wazawa, walioikataa ASP siku ya Ameir Tajo na Moh'd Shamte walipojiengua na chama hicho na kuunda ZPPP. Waliikataa ASP kwasababu ya sera zake za kuwakumbatia "wakuja" na wataendelea kuikataa ASP ( CCM) hata itawale mfululizo kwa miaka hata 200 kama walivyotawala wareno, lakini haitaweza kuzibadilisha nyoyo za wazanzibari khusu kisiwa chao.
2. Kulikopelekea ishinde vipi hakuna kupewa: Kuna mtawala mwengine alioitia Zanzibar kwapani. Pamoja na kuwatumia wazanzibara na kutumia umwamba wake wa kubeba rocket launchers mabegani, na vifarui mitaani wakati wa kampeni na uchaguzi havikuweza kuteteresha imani ya wazanzibari wazawa juu ya chama na viongozi wanaowataka. Mtawala huyu anaringia uwezo wa kijeshi wa (45:1) na Zanzibar inaringia uzalendo uliotukuka, ujasiri na ustahamilivu na uchamungu wa wazanzibari!
Oman walikuja Zanzibar kwa minajili ya kuuondosha utawala wa mabavu na wa kikafiri wa kireno uliodumu takriban kuanzia 1503 - 1698. Kipindi chote na tarehe hizo walikuwepo watu wanaishi visiwa hivi wanaokuja kujuulikana kama wazanzibari.Kwa hiyo wakati wa oman walipofika zanzibar,walimkuta nami hapo kisiwani? au kulikuwa hakuna mtu? Sababu wengi wanaongelea waamiaji kutoka Oman na kutoka bara, je natives wa zanzibar ni nani??.
Hii hali ya kusema huyu kaamia mwaka flani na huyu kaja kama mtumwa ndio inawapa matatizo wa zanzibar miaka yote,kwa sababu huwezi kujenga nchi iwapo mnajiwekea matabaka!
Mpuuzi mkubwa karne ya 7 mpaka 9 Ibun Batuta anasimulia kuhusu kuwapo kwa Himaya ya Zenj ikiwa na maana Himaya ya mtu mweusi. Kama hao wakuja wa 1600 walifanya hila dhidi ya wenyeji.Nzuri, mpigieni makofi.Lakini ingekuwa "more factual and sensible" kama ungeandika na kutafakari baadae kama hivi: