Maalim Seif asafiri kwa Boti akitokea Dar Es Salaam

Maalim Seif asafiri kwa Boti akitokea Dar Es Salaam

5523

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
2,290
Reaction score
2,431
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika bandari ya Zanzibar akitokea Dar es Salaam kwa usafiri wa boti ya (Kilimanjaro 111).

bot1.jpg

bot2.jpg

My take:

Hii ni ishara njema na dalili tosha kuwa maalim seif ni kiongozi wa Umma na kiongozi mzuri kwa namna ambavyo ameona ni vyema mda mwengine kuungana na wananchi wa kawaida ambao hawana uwezo kupanda ndege.
 
JK siku hizi hatumii ndege za serekali pia kusafiri.
 
Mkuu naona huwafahamu wanasiasa wa Tanzania. Hiki ni kipindi cha kuwa makini, la sivyo ukifuata njia ya chatu utaliwa mchana kweupe. Ni ushauri tu.

Inawezekana hayo usemayo ikawa ni kwa lowassa lakin sio maalim
 
Wanasiasa wa Tz wanaboa sana. Wakati wa Kampeni do wanajifanya kusafiri na boat? Siku nyingine wanakuwa Wafalme na wakati huu ndo wanakuwa watwana? Hapa ndo najua kuwa hatuna viongozi bali tuna ma-opportunists.
 
mbona maalim seif hana makuu, ndo kawaida yake tokea amekuwa waziri kiongozi Zanzibar miaka hiyo lakini kama atakujakupanda JK boti kwa kusafiria sasa tunaweza kuibua maswali
 
Kwa zanzibar maalim seif amnakubalika sana.
 
mbona maalim seif hana makuu, ndo kawaida yake tokea amekuwa waziri kiongozi Zanzibar miaka hiyo lakini kama atakujakupanda JK boti kwa kusafiria sasa tunaweza kuibua maswali
Mimi sijui nikadhani ndo anapanda leo. Sijawahi kuona kitu kama hiki. Kama ndivo, basi big up to him, otherwise, it's absurd.
 
Waafrika bana! Kwa hiyo kupanda Boti kunaashiria anafaa kuwa Rais? Ndo yale alosema Lowassa mtu yupo kwenye utumishi Senior levels kwa miaka zaidi ya thelathini mshahara na Allowance zote anakunywa halafu anajidai ni Maskini nasi hatuhoji iweje awe masikini wakati kwa vipato halali kisheria anavopata hapaswi kuwa Maskini
 
NILIDHANI KATUMIA MTUMBWI,
MBONA JANUARI MAKAMBA ANATUMIA BASI LA KAWAIDA LA RATCO

th
 
win8

Acha kuwa mpumbavu wewe boti za zenj premium class ni full enjoyment kuliko ndege, humu wengi inaonekana hamsafiri.
[http://www]
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom