Maalim Seif apata mwaliko wa Hillary Clinton

Maalim Seif apata mwaliko wa Hillary Clinton

Taarifa zinaonyesha kwamba waliopiga kura 20 march 2016 hawakuzidi 57,850 na mshindi alijinyakulia kura 299,000 ! Hata kama kichwa chako unafugia nywele tu hili nalo ni la kufundishwa ?
Ukiulizwa taarifa hizo umepata wapi? utasikia amesema Maalim Seif!!
 
Winner ?2015? Acheni mashairi yasiyo tosheleza vina,sasa ndo anaenda kuwadanganya huko kama alishinda?tehetehe mzee huyu bwana ngoja tumuite Salim BBC
 
Akipita huyu Mama, utawala wa Magufuli huenda hautapata heshima ya mtangulizi wake kutokana na huu ukiukaji mkubwa wa demokrasia huko Zanzibar. Kwa bahati mbaya ushawishi wa Marekani katika siasa za kimataifa ni mkubwa sana.

Akipita Trump itakuwa mbaya zaidi kwa viongozi madikteta wa kiafrika. Yeye amesema wazi kuwa Afrika inahitaji kutawaliwa kwa mara ya pili na wazungu ili kuwanusuru wafrika wa kawaida wanaonyanyaswa na kuibiwa na watawala wao.
Kwa bahati mbaya huyo mama hajui kama kuna mtu anaitwa Seif Hamad amekaribishwa katika mkutano huo.
 
Eti sheikh, hawa huwa si ndio mnawaita Makafir, ila kutwa kucha kiguu na njia kujipendekeza kwenye nchi zao. Leo maalim kaitwa na nduguye abdala Dodoma, anakataa wito na kupanda ndege kwenda kwa hao msiowataka hata kuwasikia. Ni lipi jema hasa wamelionesha kwenu mpaka msahau mabaya yao ghafla?
" Msujudie kafiri upate Mradi wako" Ndio wahenga wa visiwa hivi walipata kutuwaidhi.

Hivi huko Dodoma kuna ndugu yake Maalim.Seif? ahsante wa kunijuulisha.Una maana yule aliempora ushindi na kuharamisha maamuzi ya Wazanzibari wengi kwa mabavu? The Once upon time Brother!
 
" Msujudie kafiri upate Mradi wako" Nwahenga wa visiwa hivi walipat kutuwaidhi.

Hivi huko Dodoma kuna ndugu yake Maalim.Seif? ahsante wa kunijuulisha.Una maana yule aliempora ushindi na kuharamisha maamuzi ya Wazanzibari wengi kwa mabavu? The Once upon time Brother!
Kwahiyo Mradi wa Maalim Seif ni kua Rais wa Zanzibar ama sivyo? Maalim Si alipewa nafasi ya kudhihirisha dunia kua alishinda kwa haki uchaguzi wa mwanzo. Kama kweli alikua mshindi nini kilimyima kushiriki uchaguzi wa marudio na kushinda tena? Ukiona hivyo ujue kua hakushinda. Aaache hadaa.
 
Seif ndio mshindi hata dikteta ushwara anajua.Lakini Mungu sio Sheini siku moja itajulikana haki haipotei Bali ucheleweshwa
 
Seif ndio alishinda maharamia ya ccm yakaiba ushindi
 
Kwahiyo Mradi wa Maalim Seif ni kua Rais wa Zanzibar ama sivyo? Maalim Si alipewa nafasi ya kudhihirisha dunia kua alishinda kwa haki uchaguzi wa mwanzo. Kama kweli alikua mshindi nini kilimyima kushiriki uchaguzi wa marudio na kushinda tena? Ukiona hivyo ujue kua hakushinda. Aaache hadaa.
Usinitie maneno kinywani. Ninachosema Mradi yoyote atakaechaguliwa na kupata ridhaa ya wazanzibari waliowengi katika uchaguzi uliokuwa huru na haki ndio anaestahili kuwa Ris wa Zanzibar.

Ndugu yangu usighilibike na propaganda za vijiwe kuwa eti alipewa nafasi ya kudhihirisha dunia kua alishinda.Hilo si kweli. Ukweli kuwa Dunia nzima na hasa ziliuoleta wangalizi wao wanajua kwa ithibati na ushahidi kuwa CUF imeshinda na ndio maana wote walisusia uchaguzi wa marejeo.
 
wewe kweli hata dik dik anakushinda akili,, umeona wapi mtu alishinda uchaguzi akirudia uchaguzi wa pili ili ku verify kuwa alishinda uchaguzi wa awali?
 
Usinitie maneno kinywani. Ninachosema Mradi yoyote atakaechaguliwa na kupata ridhaa ya wazanzibari waliowengi katika uchaguzi uliokuwa huru na haki ndio anaestahili kuwa Ris wa Zanzibar.

Ndugu yangu usighilibike na propaganda za vijiwe kuwa eti alipewa nafasi ya kudhihirisha dunia kua alishinda.Hilo si kweli. Ukweli kuwa Dunia nzima na hasa ziliuoleta wangalizi wao wanajua kwa ithibati na ushahidi kuwa CUF imeshinda na ndio maana wote walisusia uchaguzi wa marejeo.
Hakuna uchaguzi wowote maalim alioshinda Zanzibar hilo analifahamu fika....mwache azunguke tu maana tayari uchaguzi umeshakwisha na Rais kapatikana Zanzibar, Hizo fedha za kuzungukia duniani kutafuta credibility aliyokwisha ipoteza, angeziweka zikasaidia wahitaji wenye shida zinazotakiwa utatuzi wa haraka, jambo ambalo lingemuongezea thawabu kwa Mungu wake.
 
Kama vile nyimbo za kisonge na Lumumba, nzuri na za kujifurahisha!Ni wivu wa kisiasa hao wanaojitapa kuwa washindi wa kila siku hawawezi kuzuru hata nchi moja nje ya Tanzania.Wanaogopa kuzomewa,kupuuzwa na kudhalilishwa
 
The presumptive presidential nominee for the US Democratic Party Hillary Clinton Has Invited the winner of October 2015 CUF Secretary General Seif Sheriff Hamad to her unveiling.

Hamad was invited to the convention that will be held in Philadelphia, Pennsylvania, from July 25 to 28.In July 30 Maalim Seif will fly to Boston to speak withTanzanians in Boston , Massachusetts to tell them his campaign strategy to return the democracy in Tanzania and his robed Presidency in October 2015.

The invitations are courtesy of the International Leaders Forum (ILF), an event organised by the National Democratic Institute (NDI).

“It is a good forum that our Leader Maalim Seif will use to strengthen the party’s (CUF) image on the global platform after his tour to Europe,” said , Issa Kheri spokesperson.

On his part, Mr Hamad said that the invitation was a good opportunity for Tanzania to learn from a mature democracy like the US.

“Tanzania is a young democracy and we must take every opportunity to learn when we can. Our CUF Party will be the largest party in Tanzania and we can learn a lot from the US Democratic Party when we prepare for the future elections,” he said in a statement.

MR Hamad will be part of the convention’s panellists from Africa besides foreign ambassadors, members of parliament, leaders of political parties, ministers and about 100 members of the United States-based diplomatic corps.

Invitees to the convention represent political parties in both established and emerging democracies across the world.

Mrs Clinton will make history as the first female president of the United States if she wins the November 4 election.

The former First Lady is set to battle billionaire businessman Donald Trump for the presidency after the latter was formally nominated as the Republican party flag bearer on Tuesd
Amealikwa na Dodoma kwenye kongamano la chama cha mapinduzi.
Kuwepo kwake muhimu
 
Back
Top Bottom