Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,980
- 285,478
Maalim Seif ni Shujaa
Namalizia kuandika kitabu kuhusiana na hili gwiji la siasa za Zanzibar , nimekusudia kitumike mashuleni kufundishia .Maalim Seif ni Shujaa
CC - Ndalichako .
Maalim Seif ni Shujaa
Namalizia kuandika kitabu kuhusiana na hili gwiji la siasa za Zanzibar , nimekusudia kitumike mashuleni kufundishia .Maalim Seif ni Shujaa
Mafisi katika ubora waofisi ni fisi tu huwa anapenda kula mizogaHahaha safari pia tutaona maajabu km miezi chache zilizopita alipoamua kujipiga picha ukumbi wa UN ili aje awadanganye mazwazwa kuwa alikuwa anahutubia mkutano wa UN kumbe aliwatuhubia Jussa, Heri na viti
Of course Maalim ndo alikuwa winner, au unadhani nani alishinda?Hahaha eti the winner of 25th oct election [emoji1]
Usitegemee taarifa za kugushi za jf. Soma Sheria ya Takwimu inaelekeza takwimu zinatolewa na watu gani!!Taarifa zipo hapa hapa Jf kitambo sana .
Habari kama hizi CCM huwa hawazipendi kabisa mara watakuambia Maalim anafanya uchocheziThe presumptive presidential nominee for the US Democratic Party Hillary Clinton Has Invited the winner of October 2015 CUF Secretary General Seif Sheriff Hamad to her unveiling.
Hamad was invited to the convention that will be held in Philadelphia, Pennsylvania, from July 25 to 28.In July 30 Maalim Seif will fly to Boston to speak withTanzanians in Boston , Massachusetts to tell them his campaign strategy to return the democracy in Tanzania and his robed Presidency in October 2015.
The invitations are courtesy of the International Leaders Forum (ILF), an event organised by the National Democratic Institute (NDI).
“It is a good forum that our Leader Maalim Seif will use to strengthen the party’s (CUF) image on the global platform after his tour to Europe,” said , Issa Kheri spokesperson.
On his part, Mr Hamad said that the invitation was a good opportunity for Tanzania to learn from a mature democracy like the US.
“Tanzania is a young democracy and we must take every opportunity to learn when we can. Our CUF Party will be the largest party in Tanzania and we can learn a lot from the US Democratic Party when we prepare for the future elections,” he said in a statement.
MR Hamad will be part of the convention’s panellists from Africa besides foreign ambassadors, members of parliament, leaders of political parties, ministers and about 100 members of the United States-based diplomatic corps.
Invitees to the convention represent political parties in both established and emerging democracies across the world.
Mrs Clinton will make history as the first female president of the United States if she wins the November 4 election.
The former First Lady is set to battle billionaire businessman Donald Trump for the presidency after the latter was formally nominated as the Republican party flag bearer on Tuesd
Thubutuuuuu! Maalim Hawezi kushinda uchaguziSeif alishinda chaguzi ile!ukweli ndiyo huo
IKULU MTAISKIA KWENYE RADIO,ALISHINDA ALITANGAZWA NA TUME?ALIESHINDA UKO IKULUMaalim Seif Sharrif Hamad alishinda uchaguzi mkuu wa halali uliofanyika oct 25 2015 kwa kujinyakulia zaidi ya 52% huku mgombea wa ccm akiambulia chini ya 46%
IKULU MTAISKIA KWENYE RADIO,ALISHINDA ALITANGAZWA NA TUME?ALIESHINDA UKO IKULU