Maalim Seif apata mwaliko wa Hillary Clinton

waone walivyovimba kisa katajwa seif ndio amealikwa na ataweza kuongea sio yale ya kusoma chemistry kwa kiswahili
 
Kama watu wanaamini kuwa kuna Mungu lakini wanasema uwongo na kusema uwongo ni dhambi sijui wanajisikiaje. Hapa lazima kuna mtu anasema uwongo na anakazana kwa nguvu zote kusema hivo. Ina maana siasa humtaja Mungu kinafiki?
 
Maalim Seif Sharrif Hamad alishinda uchaguzi mkuu wa halali uliofanyika oct 25 2015 kwa kujinyakulia zaidi ya 52% huku mgombea wa ccm akiambulia chini ya 46%

Kama alishinda raundi ya kwanza kwa nini aliogopa kuingia raundi ya pili au pumzi iliisha? Mama Clinton anataka kujifunza kususia uchaguzi?
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Hahaha safari pia tutaona maajabu km miezi chache zilizopita alipoamua kujipiga picha ukumbi wa UN ili aje awadanganye mazwazwa kuwa alikuwa anahutubia mkutano wa UN kumbe aliwatuhubia Jussa, Heri na viti
 
kwa kweli winner yupo ikulu,akiikanyaga democrasia,kwani alieshinda siku zote yupo na wananchi mittaani kama rais wa uturuki
Sidhani kama ungeweza kuja na comment tofauti na hio, huku unasahau kuwa huyo jamaa yako ndie aliyesigina democrasia - alizuaia wenzake wasitie team tarehe 22.March 2016.
 
The presumptive presidential nominee for the US Democratic Party Hillary Clinton Has Invited the winner of October 2015 CUF Secretary General Seif Sheriff Hamad to her unveiling.

Hamad was invited to the convention that will be held in Philadelphia, Pennsylvania, from July 25 to 28.In July 30 Maalim Seif will fly to Boston to speak withTanzanians in Boston , Massachusetts to tell them his campaign strategy to return the democracy in Tanzania and his robed Presidency in October 2015.

The invitations are courtesy of the International Leaders Forum (ILF), an event organised by the National Democratic Institute (NDI).

“It is a good forum that our Leader Maalim Seif will use to strengthen the party’s (CUF) image on the global platform after his tour to Europe,” said , Issa Kheri spokesperson.

On his part, Mr Hamad said that the invitation was a good opportunity for Tanzania to learn from a mature democracy like the US.

“Tanzania is a young democracy and we must take every opportunity to learn when we can. Our CUF Party will be the largest party in Tanzania and we can learn a lot from the US Democratic Party when we prepare for the future elections,” he said in a statement.

MR Hamad will be part of the convention’s panellists from Africa besides foreign ambassadors, members of parliament, leaders of political parties, ministers and about 100 members of the United States-based diplomatic corps.

Invitees to the convention represent political parties in both established and emerging democracies across the world.

Mrs Clinton will make history as the first female president of the United States if she wins the November 4 election.

The former First Lady is set to battle billionaire businessman Donald Trump for the presidency after the latter was formally nominated as the Republican party flag bearer on Tuesd

Kutumiwa tu huku....
 
Utumbo mtupu. Sasa hivi Hilary Clinton halali akihangaikia mbinu za kumshinda Trump nyie CUF mnahangaika na mialiko ya kuonana naye.

Nyie jipendekezeni kwa Clinton halafu Trump aje ashinde kama hatamkamata maalim Seif kwa kuchuuza wazanzibar kwenye uchaguzi.
 
This is note a copy and past like you want us to believe. This is your presentation of the facts with the added salt, that we tanzanians aslo would try and in to honey or sugar. Tupe link ya hilo gazeti ama site uliyoitumia ku quote hii habari, nasi tujiridhishe.

kutokujiamini kubaya kwa nini uweweseke tulia naibu spika wa bunge la jmt uone hizo tarehe muda haudanganyi.
 
Eti sheikh, hawa huwa si ndio mnawaita Makafir, ila kutwa kucha kiguu na njia kujipendekeza kwenye nchi zao. Leo maalim kaitwa na nduguye abdala Dodoma, anakataa wito na kupanda ndege kwenda kwa hao msiowataka hata kuwasikia. Ni lipi jema hasa wamelionesha kwenu mpaka msahau mabaya yao ghafla?

hypocrisy at his level.
 
Utumbo mtupu. Sasa hivi Hilary Clinton halali akihangaikia mbinu za kumshinda Trump nyie CUF mnahangaika na mialiko ya kuonana naye.

Nyie jipendekezeni kwa Clinton halafu Trump aje ashinde kama hatamkamata maalim Seif kwa kuchuuza wazanzibar kwenye uchaguzi.

Inanity.
 
Hizi ni zama ambazo, mshindwa hujiliwaza na kupita akipayuka kuwa ndo mshindi, tho kinachojiri kivitendo kinathibisha vinginevyo.......Viwevivyo hivyo, hasemwi, lkn Goodluck Jonathan, bila ya kusemwa, ni baba ktk demkrasia ya kiafrika....
...
 
Back
Top Bottom