Upinzani si kupinga kila jambo - Seif
Thursday, 18 November 2010 19:53 newsroom
Na Esther Mvungi,Dodoma
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Seif Sharif Hamad, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, amesema haina maana kwa chama cha siasa kupinga kila jambo. Amesema CUF kwa upande wa Tanzania Bara kinafanya kazi ya upinzani kwa ustaarabu na kuongeza: ìTutapinga kwa hoja na si kwa malumbano. Seif alisema hayo jana baada ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, katika sherehe zilizofanyika Ikulu Ndogo ya Chamwino. Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hoja inayotolewa na baadhi ya wananchi na vyama vya siasa kuwa, CUF si chama cha upinzani kwa kuwa kimo ndani ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Haina maana kama Zanzibar kuna maeleweno na upande wa pili wa Muungano iwe tofauti, tutafanya kazi zetu kistaarabu,î alisema Seif.
Alisema lengo la wote ni kuleta amani, hivyo CUF inataka yaliyotokea Zanzibar yahamie Bara.Seif alisema ni kweli kwa upande wa Zanzibar CUF si chama cha upinzani kwa kuwa kimo ndani ya serikali. CHADEMA imevitenga vyama vingine vya upinzani vya CUF, NCCR-Mageuzi na TLP katika kuunda kambi ya upinzani.Utengano kati ya vyama hivyo umekuwa ukijionyesha wazi bungeni, ambapo katika uchaguzi wa wajumbe wa Bunge la SADC-PF uliofanyika Jumanne wiki hii, wabunge wa CHADEMA walimdhihaki mgombea wa CUF.
Baada ya Injinia Mohammed Habib Mnyaa wa CUF kutangazwa mshindi katika kundi la vyama vya upinzani, wabunge wa CHADEMA walipiga kofi wakisema CCM, CCM.
Kupinga kwa hoja na kulumbana tofauti yake ni nini? Kwani kwenye malumbano huwa hakuna hoja? Yeye ndio kaishiwa hoja mpaka ameungana na CCM: ametimiza ule usemi "If you fail to conquer your enemy, join him/ her". Kwenye picha hii ndio anapinga kwa hoja sio?
Upinzani si kupinga kila jambo - Seif
Hakuna mtu mbinafsi kama Seif. Ni hatari kushinda wasaliti. Yeye siku zote ametanguliza maslahi yake. Alimsaliti Mzee Aboud Jumbe mwaka 1984 katika kile kilichoitwa kuchafuka kwa hali ya hewa ya siasa Zanzibar. Alipokosa kuchaguliwa kugombea uraisi Zanzibar mwaka 1985 alifanya kampeni za chini chini dhidi ya Abdul Wakili. Marehemu Wakili akampa uwaziri kiongozi. Lakini kufikia Januari 1988 kumchimba kwake Wakili kulisababisha afukuzwe nafasi hiyo na CCM. Baada ya hapo akawekwa ndani aliyemtoa ndani ni Lamwai kupitia Mahakama ya Rufaa. Lakini ni Mahakama anayoipinga kwamba inaingilia mambo ya Zanzibar.Upinzani si kupinga kila jambo - Seif
Thursday, 18 November 2010 19:53 newsroom
Na Esther Mvungi,Dodoma
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Seif Sharif Hamad, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, amesema haina maana kwa chama cha siasa kupinga kila jambo. Amesema CUF kwa upande wa Tanzania Bara kinafanya kazi ya upinzani kwa ustaarabu na kuongeza: ìTutapinga kwa hoja na si kwa malumbano. Seif alisema hayo jana baada ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, katika sherehe zilizofanyika Ikulu Ndogo ya Chamwino. Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hoja inayotolewa na baadhi ya wananchi na vyama vya siasa kuwa, CUF si chama cha upinzani kwa kuwa kimo ndani ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Haina maana kama Zanzibar kuna maeleweno na upande wa pili wa Muungano iwe tofauti, tutafanya kazi zetu kistaarabu,î alisema Seif.
Alisema lengo la wote ni kuleta amani, hivyo CUF inataka yaliyotokea Zanzibar yahamie Bara.Seif alisema ni kweli kwa upande wa Zanzibar CUF si chama cha upinzani kwa kuwa kimo ndani ya serikali. CHADEMA imevitenga vyama vingine vya upinzani vya CUF, NCCR-Mageuzi na TLP katika kuunda kambi ya upinzani.Utengano kati ya vyama hivyo umekuwa ukijionyesha wazi bungeni, ambapo katika uchaguzi wa wajumbe wa Bunge la SADC-PF uliofanyika Jumanne wiki hii, wabunge wa CHADEMA walimdhihaki mgombea wa CUF.
Baada ya Injinia Mohammed Habib Mnyaa wa CUF kutangazwa mshindi katika kundi la vyama vya upinzani, wabunge wa CHADEMA walipiga kofi wakisema CCM, CCM.
huyu kaka ni kichwa kweli mie namwamini sana lakini kwa hapa amechakachuliwa!anacheza na sisiem....walipoona wamemmaliza wakampa hiyo kazi butu
Hii picha inatoa somo kubwa sana, Wazanzibar 4, wabara 2. Zanzibar ni kama wilaya 1 ya Dar es salaam na ina makamu wawili wa Rais, Rais wake na ina makamu wa Rais wa Muungano, hapa wanajipa madaraka tuu, hakuna cha kuongoza wala nini. Mwone Seif alivyotulia, raha tupu, waliokua wanambeba sasa wanazidi kuumia. Tusubiri tuu 2015Kupinga kwa hoja na kulumbana tofauti yake ni nini? Kwani kwenye malumbano huwa hakuna hoja? Yeye ndio kaishiwa hoja mpaka ameungana na CCM: ametimiza ule usemi "If you fail to conquer your enemy, join him/ her". Kwenye picha hii ndio anapinga kwa hoja sio?