Maalim Seif amakinike na Zitto

Maalim Seif amakinike na Zitto

I always respect your analyses and observations Mr. Mshana. But I'll hold a different opinion over this matter. It's an open truth that from the day Zitto was dismissed from CHADEMA, it was a big blow to the party, though it had never been admitted openly by CHADEMA. Again today the same party either out of jealous or poor analysis, is trying to undermine the political impact that is coming with admission of Maalim Seif Sharif Hamad by establishing joint force with Zitto within ACT. It's high time now CHADEMA should consider to work with Zitto rather than trying to tarnish his image
Thank you anyway.... But let's be patient... Mine was to start a topic for discussion but aiming Zitto as a key player.... Let's give time a room.. Time will decide

Jr
 
Punde kuna watu tumeshaanza kumpa angalizo Maalim kwamba Zitto haaminiki na msaliti na ndiye M1. Dah, siasa ni mchezo wa ajabu sana, Zitto amekaribishwa UKAWA lakini sasa yameshaanza kuibuliwa mavi ya kale dhidi yake! Na je anajifikiriaje anaposikia maneno haya ya kuitwa Msaliti na washirika wenzako walioko kwenye UKAWA. Au UKAWA ndio imekufa baada ya CUF Maalim kuondoka na sasa watashirikiana vipi na Msaliti? Je huyo Msaliti anaweza kuwa mshirika kuaminika kwenye UKAWA au ndio utakuwa urafiki wa fisi na sungura?
Kwa bandiko hili inaonekana CHADEMA bado hawajaamini kilichotokea. Ila Maalim ndiye mwenye kuamua ni wapi aende ingawa
inavyoonekana CCM na CHADEMA wamehusika sana katika mgogoro wa CUF. Wamekikoroga na kukidhoofisha mwishowe CUF wako taabani. CCM walifikiri Maalim ataacha siasa baada ya kuchanganywa na migogoro mingi na isiyokishwa huku CHADEMA wakiamini kwamba baada ya Maalim kukorogwa CUF atajiunga nao!???
Lakini kinyume na woooote walivyofikiri amewaacha hoi watu na kuibua mijadala mingi baada ya kuhamia ACT Wazalendo. Jamani ni vema kwa kipindi hiki tuwaache wenyewe wajijenge ili tuanze kuona huu mchanyato kati ya Mliberali na Mjamaa wa Kidemokrasia watavyozifanya siasa zao. Ni mchanyato wa aina yake.
 
Kumbuka hii platform huru inayoruhusu mijadala yote inayofuata kanuni, sheria na taratibu za forum... Hatuwez kufanana mitazamo lakini pia hatuwezi kupingana kwa hisia tu bali kwa hoja juu ya hoja.... Hisia za kudhani fulani ni wa chama fulani kwakuwa kaandika mtazamo wake usiokubaliana nao sio sahihi kabisa

Nashukuru kwa kukumbuka hilo ila swali kuu, kwa maono yako je UKAWA imekufa? Je Msaliti anafaa kukaa naye meza moja ili kujadili mustakabali wa UKAWA?
 
Nashukuru kwa kukumbuka hilo ila swali kuu, kwa maono yako je UKAWA imekufa? Je Msaliti anafaa kukaa naye meza moja ili kujadili mustakabali wa UKAWA?
Hili sio langu na sina mjadala nalo hivyo kuniuliza hapa hujanitendea haki... Mwenye ufahamu nalo anaweza kuja kukujibu

Jr
 
Propaganda za siasa huwa zinafanikiwa sana kwetu wafuasi.

Chadema walimbania Zitto kugombea umwenyekiti mwaka 2009, wakamfukuza Kafulila kwa kushinda Bavicha 2008 kisa kwamba Zitto kaingilia uchaguzi.

Zitto akalazimishwa kuondoa jina 2009 tena kwa ushauri wa Mtei kwa kigezo cha kumwacha Mbowe amalize term zake 2, hivyo 2014 Zitto ndiyo agombee.

Baada ya kuondoa jina, vikatengenezwa vikundi vya kumshambulia Zitto, Kubenea na Mwanahalisi wakitumika, kina Yericko, Molemo, na timu yote ambayo ni wafuasi wa Mbowe wakatumika kumshambulia kila sehemu.

Kabla hatujashtuka tukaambiwa katiba ilibadilishwa kuondoa ukomo wa Mwenyekiti, kwamba anaweza kugombea mara nyingi kadri awezavyo. Tuliomba kujua ni kikao gani cha maamuzi kilipitisha hayo hatukupata, nakumbuka Dr Slaa aliahidi kuleta minutes za kikao hicho ila hakufanya hivyo. Mpaka leo Mbowe ni mwenyekiti wa maisha.

Zitto na timu yake baada ya kuona kwamba chama hakitakaa kitoke mikononi mwa Mbowe wakaja na Waraka wa Mabadiliko, ukaondoka nao.

Tumeona Mbowe alichofanya kwenye kumleta Lowassa na kumkaanga Dr Slaa, sisi wafuasi pendwa wa CDM tukaambiwa eti Dr ni msaliti, na si kwamba wamemsaliti wao.

Ninachelea kusema kwamba Chadema kimeshafika ukomo wake, ni zamu ya ACT kuinjoi waliyokuwa wanayainjoi CDM.

Ingawa wapinzani wote wanaendeshwa na njaa na uroho wa Madaraka, mpaka sasa hakuna ambaye ana kaliba ya Dr Slaa kwa wapinzani wote Tanzania.
 
Kuna watu wanalazimisha wapinzani wote wawe Chadema mtu asipokuwa huko atapigwa majungu mpaka basi halafu wafia chama kila mmoja anajiona mchambuzi bingwa lakini wao pia wana kasoro zao kwani tumeshuhudia sehemu nyingi hata zile zilikubaliwa katika umoja wa ukawa wagombea watoke kwa washirika wenzao bado wao wamelazimisha kuweka wagombea,nawashauri waache ubinafsi na roho ya kwanini kwa wenzao.
Naona muktadha wa mada hujauelewa vema soma tena kwa makini nilichoandika... Utaona ulipopotoka

Jr
 
Thank you anyway.... But let's be patient... Mine was to start a topic for discussion but aiming Zitto as a key player.... Let's give time a room.. Time will decide

Jr

Looking at how you described the union between two, you took so much time belittling Zitto instead of analysing the real impact expected as per heading.

This is why most of the objective people look into this post as one of CDMs agendas to keep fighting Zitto, the war that looks to be taking turns this time.

With all Zitto's weaknesses, I appreciate how resilient he is, a mere fighter would have already perished to date, but the guy survived and he is now looked into as the strong opponent between the two.
 
With all Zitto's weaknesses, I appreciate how resilient he is, a mere fighter would have been perished to date, but the guy survived and he is now looked into as the strong opponent between the two.
Time will tell... Let the almighty God grant us breath so that we witness the outcomes of this discussion...

Jr
 
Hili sio langu na sina mjadala nalo hivyo kuniuliza hapa hujanitendea haki... Mwenye ufahamu nalo anaweza kuja kukujibu

Jr
Sawia kabisa. Ila ni angalizo kwa hivi sasa anapomkosolewa Zitto lazima ikaeleweka kwamba hoja zenye kutonesha vidonda vya chuki na kuamsha hisia za chuki haziutakii mustakabali mzuri ule mwamvuli wa UKAWA. Hivi inakuwaje mkeo unaishi nae halafu kila kukicha uko vijiweni unamnanga kwenye kadamnasi. Anajisikiaje? Anajifiriaje? Hivi kuna ndoa hapo au kuna kusanifiana?
 
Wakati utasema

Jr
 
Zitto hajawahi kuwa mpinzani na hatakuwa.
Wafuasi wa upinzani oya oya watachezeshwa sana kwata.
Unafikiri sistim ya nchi ina akili finyu?
Mpaka tutakapofunguliwa akili ndio tutajua mengi
 
Looking at how you described the union between two, you took so much time belittling Zitto instead of analysing the real impact expected as per heading.

This is why most of the objective people look into this post as one of CDMs agendas to keep fighting Zitto, the war that looks to be taking turns this time.

With all Zitto's weaknesses, I appreciate how resilient he is, a mere fighter would have already perished to date, but the guy survived and he is now looked into as the strong opponent between the two.
Well observed, honestly speaking; I'm afraid CHADEMA will come to its senses when the situation is out of control and be just in records that it had once been the main opposition party in the country
 
Yaliyokwisha tokea yametokea... Yaliyokwisha jiri yamejiri.... Sasa vumbi linaelekea kutulia japo ni kama kuna chokochoko mpya inatafutwa na hapa hatafutwi mwingine bali Maalim Seif aliyekuwa katibu mkuu wa CUF.. Hatafutwi Zitto bali wafuasi waaminifu wanayemfuata Maalim Seif popote... ACT-Wazalendo ni self styled political party.... Kwenye siasa za Tanzania hakina impact kubwa zaidi ya mwenyekiti wake anayetoa matamko ya mara kwa mara....!
CUF ni mziki mwingine kabisa ni next level na kwenye siasa za Tanzania CUF ina impact kubwa sana....
Impacts za hivi vyama viwili vya siasa inaletwa na viongozi wake.. Seif ni mkongwe wa siasa za ccm na upinzani...Amewahi kuwa mpaka Waziri kiongozi, amekaa kizuizini kwa kesi ya uhaini....kesi isiyo na dhamama... Dhamira mtazamo, maono na maamuzi yake viko wazi sana... Ama dhamira moja na uamuzi mmoja... Na akiamua ameamua HATETEREKI na ndio maana anaaminika na wafuasi wake.... Amepitia kash kash nyingi za kisiasa, mafanikio na kuanguka pia.. Lakini hajawahi kuyumba wala kuyumbishwa.... Ni jasiri hata kwa hulka...

Zitto kidogo ni tofauti kabisa na Maalim... Hupenda kujijenga binafsi... Hana misimamamo thabiti na ni mwepesi kuyumbishwa ana kununuliwa... Safari yake kisiasa kwa miaka michache imekuwa na tongotongo nyingi lakini kubwa ni pale alipotaka kukihujumu chama chake kilichomlea na kuishia kufukuzwa kisha akajiundia chama kingine kilichotumika vibaya wakati wa uchaguzi mkuu 2015 huku mfaidikaji mkuu akiwa ni yeye mwenyewe
Leo hii Maalim yuko chama cha Zitto ACT, hayuko CHADEMA imekuwa faraja ya wengi kwa yeye kutokwenda huko...yangesemwa mengi... Lakini pia asingetosha kwa nafasi za chini... Pengine kuna mkakati wa baadae wa kuja kuunganisha nguvu.... ACT iliyokuwa inapumulia mashine mara ghafla umepata uhai mpya... Ujio wa Seif umekuja na Tsunami ya wanachama.... Sidhani kama likitokea na kutokea Zitto akaondoka ACT impact itakuwa kubwa kama vile Maalim kwa sababu zozote zile akaamua tena kuhama chama.....

Maalim ni mkongwe na anazijua fitina za aina zote hivyo anaweza kumdhibiti Zitto anayependa kusikika yeye tu na kuwa juu ya mamlaka yote.... Zitto hana impact kubwa kwa wanachama wake na hata serikalini lakini Maalim anayo tena ya kutisha....
Pamoja na umahiri wa uchambuzi wa mambo mbali mbali na uwezo wa kujenga hoja lakini ni mwepesi kwenye misimamo na hachelewi kugeuka akiona mambo ni magumu ama kuna faida atapata....
Hivyo basi siasa zijazo ndani ya ACT zitategemea uguswaji wa serikali, ushiriki wake na yatakayotokea kati ya Maalim na Zitto na wanachama wao

Jr
Kuna baadhi ya watu humu, yaani you are Professors kwenye maswala haya ya kuchambua mambo ya kisiasa, yaani unasoma point mwanzo mpaka mwisho hadi unanyoosha mikono.
 
Back
Top Bottom