FORCE NAMBA
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 937
- 328
1. JPM ni Rais wa kwanza Tanzania kukusanya mapato mengi kwa muda mfupi
2. Ni Rais wa kwanza kusambaratisha mtandao wa wizi bandarini na kusambaratisha kundi la wanaojiita Mungu watu
3. Ni Rais wa kwanza kuhakikisha wagonjwa wanapata huduma bora Muhimbili
4. Rais wa kwanza kurudisha heshima ya watu waishio mjini hapa lazima tueshimiane kila mtu anakula kilicho sahihi
5. Ni Rais wa kwanza kuliongoza Taifa akiwa peke yake na wasaidizi 3 tu na nchi nzima ikatikisika je, akitangaza baraza la mawaziri hali itakuwaje!!!