The realy Ngosha
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 340
- 529
Hii ni taarifa kutokea tengamano Tanga ambapo imedaiwa mti aina ya muembe umetokezea taswira ya Mwalimu Nyerere upande wa kwanza na mama Maria Nyerere upande wa pili.Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza tarehe 6/ 7 /2016 saa 12 jioni wakati watu wakiuangalia mwandamo wa mwezi wa ramadhan ndio walipongundua maajabu hayo.
Na ukivuka ng'ambo ya pili ukigeuka kuutizama tena mwembe huo inatokea taswira ya mama Maria Nyerere! Embu utizame tena huo mwembe apo kwenye picha!
Na ukivuka ng'ambo ya pili ukigeuka kuutizama tena mwembe huo inatokea taswira ya mama Maria Nyerere! Embu utizame tena huo mwembe apo kwenye picha!