Inategemea Dar maeneo yapi; ukishapita Banana kuelekea Kitunda, Nyantira, Kivule, Msongola, Magole, Chakenge, Tambani na maeneo jirani thubuti kufika na hilo panga lako utaona moto wake.Jamani naomba kuwaulizen hawa wanaume dar huwa wakoje mana akitokea mtu mmoja na panga wao hungia ndani ni kwamba hawana nguvu