Maajabu ya wanaume wa Dar.

herzegovina

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
3,129
4,712
Katika watu wanaotakiwa waingie kwenye maajabu ya dunia basi ni wanaume wa Dar.

1. Ndio mkoa wenye wabunge wengi waliounga mkono juhudi.

2. Ndio mkoa ambao umefanyiwa kila aina ya hila katika chaguzi za marudio ikiwepo sanduku la kura kuibiwa mchana kweupe.

3. Ndio mkoa ambao chaguzi zake ndizo zinazowafanya viongozi wa CHADEMA wawe na kesi ya kujibu ambayo Kuna tetesi kuwa mwisho wake hautakuwa mzuri.

4. Ndio mkoa ambao chaguzi za marudio zilisababisha vifo vya Aquilina na Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif

5. Ndio mkoa ambao umedhurika zaidi na kudidimia kwa demokrasia

6. Ndio mkoa ulioathiriwa zaidi na Bomoa Bomoa kinyume na ORDER ya mahakama huku wenzao wa Kanda ya ziwa wakisamehewa kwa kuwa tu walimpigia kura mkuu.

Lakini Cha kushangaza, ndio mkoa ambao Asilimia 90 ya watu wake wenye sifa ya kupiga kura wamejiandikisha kupiga kura, for what?

Nyinyi wanaume wa Dar nyinyi....
 
Na ndio mkoa wenye miradi mingi ya serikali, barabara kila kona mpaka Mbagala huko, brt mpya mpaka Mbagala, maji, flyovers, hospitals mpaka kigamboni, masoko ya kisasa, stendi za kisasa, madaraja huko coco Beach

Lazima watu wamuelewe JPM na wajitokeze kwa wingi kumpigia kura 💃💃💃💃💃🏄
 
Na hizi ndio mvua za Dar na madhara yake...poor CCM
IMG-20191017-WA0040.jpeg
 
Katika watu wanaotakiwa waingie kwenye maajabu ya dunia basi ni wanaume wa Dar.

1. Ndio mkoa wenye wabunge wengi waliounga mkono juhudi.

2. Ndio mkoa ambao umefanyiwa kila aina ya hila katika chaguzi za marudio ikiwepo sanduku la kura kuibiwa mchana kweupe.

3. Ndio mkoa ambao chaguzi zake ndizo zinazowafanya viongozi wa CHADEMA wawe na kesi ya kujibu ambayo Kuna tetesi kuwa mwisho wake hautakuwa mzuri.

4. Ndio mkoa ambao chaguzi za marudio zilisababisha vifo vya Aquilina na Katibu wa CHADEMA kata ya Hananasif

5. Ndio mkoa ambao umedhurika zaidi na kudidimia kwa demokrasia

6. Ndio mkoa ulioathiriwa zaidi na Bomoa Bomoa kinyume na ORDER ya mahakama huku wenzao wa Kanda ya ziwa wakisamehewa kwa kuwa tu walimpigia kura mkuu.

Lakini Cha kushangaza, ndio mkoa ambao Asilimia 90 ya watu wake wenye sifa ya kupiga kura wamejiandikisha kupiga kura, for what?

Nyinyi wanaume wa Dar nyinyi....
Ndiyo mkoa pekee wenye Mkuu wa Mkoa hovyo kuwahi kutokea katika historia akifuatiwa na wa Mbeya, Arusha na Mtwara, malimbukeni wa Madaraka na kujifanya miungu watu.
Waongo na wasingiziaji wao ziwa la moto ni lao.
Eti mkuu wa Dar anasema CHADEMA walikuwa wananunua majeneza na kupiga nyo picha kisha kuonyesha kuna korona.
 
Back
Top Bottom