Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,020
- 13,655
Hiyo picha ya Shanghai imepigwa na Satellite ya wachina yenye uwezo wa billion 24.9 pixelDuhh....camera gan hii au ya kutengeneza??
Sijakuelewa mkuuKwa maelezoe zidi google.com
Picha siyo ya satellite mkuu, ni picha iliyopigwa kutoka kwenye ORIENTAL PEARL TOWER , mnara mrefu zaidi Shanghai na imepigwa na yenye uwezo wa 195Gpixel resolutionHiyo picha ya Shanghai imepigwa na Satellite ya wachina yenye uwezo wa billion 24.9 pixel