Maajabu ya Wachina kwenye picha

Maajabu ya Wachina kwenye picha

Aisee, Kwa Mara ya kwanza nashuhudia picha iliyopigwa katika kiwango cha juu!
This is unbelievable!!!!
 
Hiyo picha ya Shanghai imepigwa na Satellite ya wachina yenye uwezo wa billion 24.9 pixel
Mkuu naona umeamua kutafsiri maelezo ya kwenye picha kinyume, unanikumbusha mkalimani wa yule bondia mbongo aliyeshinda pambano ughaibuni majuzi. Ha ha haaa eti satellite yenye 24.9 billion pixel
 
Hahaaa,halafu ndio jiji la pili kwa ukubwa china.
 
So big! big! big! and big! photograph[emoji33][emoji33][emoji33].Keep zooming in,
experience every detail of the city instantly, even the vehicle license or pedestrians' facial expressions.

[emoji89]Shanghai CHINA - billion pixels panorama
Shanghai Lujiazui
[emoji89]Hongkong CHINA - billion pixels panorama
Hongkong - big pixel panorama
[emoji89]Shanghai Bund CHINA - billion pixels panorama
Shanghai Lujiazui
[emoji89]Phi Phi Islands Thailand - billion pixels panorama
Phi Phi Islands in Phuket Island – Big Pixel panorama
[emoji89]Macao CHINA - billion pixels panorama
Macao - big pixel panorama
[emoji89]TianAnMen CHINA - billion pixels panorama
Palace Museum – Big Pixel panorama
[emoji89]Shenzhen CHINA - billion pixels panorama
Shenzhen - bigpixel tech
[emoji89]Lhasa CHINA - billion pixels panorama
Lhasa – Big Pixel
[emoji89]QingDao CHINA - billion pixels panorama
Qingdao – Big Pixel panorama
 
Duuh hii ni hatari kwa tech ijayo utaona mtu anapiga picha nchi nzima in single picture!
 
Mkuu naona umeamua kutafsiri maelezo ya kwenye picha kinyume, unanikumbusha mkalimani wa yule bondia mbongo aliyeshinda pambano ughaibuni majuzi. Ha ha haaa eti satellite yenye 24.9 billion pixel
Hata wenyewe walivyozindua waliita big pixel mkuunadhan haijafikisha hata miezi miwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom