tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,073
- 16,639
Ujue mie kuna kitu huwa kinanishangaza kuhusu vijana wenzangu wa kibongo{me na ke}, unakuta kijana hana kazi yoyote hapa mjini, kazi yake ni kushinda kijiweni tu na wengine kazi zao ni kudhurura tu kutwa nzima.
Ila cha ajabu unamkuta anamiliki simu ya laki 8 ingawa salio la simu yake linasoma 0, muda mwing wanasumbua watu na texts za please call me au plz recharge me.
Sasa najiuliza hizo simu za bei ghali hivyo wanazitoa wapi na wakati hawana kazi na kwa nini wasiuze hizo simu wapate mitaji ya kufanyia biashara?