Maajabu ya uumbaji: Pango kubwa zaidi la Barafu huko Ice Land

Traveller X

JF-Expert Member
May 2, 2017
271
305
northern-lights-ice-cave-XL.jpg

Unaweza ukadhani picha hii ni photo shop au ya kuchorwa lakini kama ulikua hufahamu hii sehemu inaitwa "Pango la Barafu" au "Pango la Vioo vya barafu" linapatikana huko Bara ulaya kwenye nchi ya "Ice Land"

Kuna mapango mengi tu ya barafu huko ice land na kama ukibahatika kufika kwenye moja ya mapango hayo utaenjoy kuzurula na kupiga picha ndani ya barafu hizi ambazo inasemekana ni safi na zenye rangi ya Blue na unauwezo wa kujiona vizuri tu tena zaidi ya kioo chako hapa nyumbani.

Kuna mengi ya kujifunza eneo hili kwa tunaopenda kusafiri: Unaweza Soma zaidi Hapa> Ice Cave or Crystal caves In Iceland: See the wonder of creation. - Travellers

kneel.jpg


271.jpg
 
Back
Top Bottom