maajabu ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania.

    Nimeikuta hii huko Youtube. https://youtu.be/TdpZMM5cbo4?si=BQFl2tp0WEveObmJ
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa lilifungwa kwa mahubiri ya siasa, mkesha wa Mwaka Mpya kahubiri siasa kanisa halijafungwa

    Si mseme tu Kwamba mlifunga kanisa ili kuhakikisha huyo Shetani anakuwa Rais, Sasa hivi hata akihubiri siasa madhabauni mbona hamlifungii tena. Hii Serikali na huu utekaji na uuaji wanaona wananchi kama mandondocha kumbe hawajui wanamuujumu Kiongozi wao Itoshe kusema kwamba walichokitaka...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania: Mwananchi anayekemea maovu, anadhihakiwa na yule mwenye wajibu wa kukomesha MAOVU. Maana yake ni nini?

    Simple: Maana yake ni kuwa Mwenye wajibu wa kukomesha maovu ndiye mtenda Maovu
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ona maajabu ya Tanzania kuhusu vipato vya watumishi wa serikali

    Mbunge Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba. 1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku 2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi 3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa 4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee 5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao 6...
  5. R

  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Panya Ronin wa Tanzania aliyeweka rekodi ya dunia ya kunusa mabomu mengi zaidi ya ardhini

    Panya Ronin amekuwa panya wa kwanza kugundua zaidi mabomu 100 ya kutegwa ardhini na mabaki mengine ya zana za kivita ambazo zinaweza kusababisha maafa nchini Colombia Panya huyo mkubwa kutoka bara la Afrika amekuwa akifanya kazi katika jimbo la Preah Vihear kaskazini mwa Cmabodia kwa zaidi ya...
Back
Top Bottom