Hata sisi jamii ya bata we are so kind kwakweli tuna adopt hata watoto wa mwewe
Boflo,
Wanyama huwa na maajabu na mafundisho makubwa sana kwetu, ikiwa tu tutakuwa na macho wa kuyaona.
Umenikumbusha hii ya Simba na Swala:
Source:
Lioness adopts baby antelope in Uganda national park -- after EATING ITS MOTHER
Read more: SEE IT: Lioness
M-Hmong akipita mitaa hiyo huyo Squirrel atakuwa kitoweo!.View attachment 81383
..........