DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
UnaotaMaajabu mwenye point 9 atabaki Nazo hadi mwisho na ataishia hatua ya makundi
Yanga atafuzu kibabe
Haya maneno yalianza muda tuMaajabu mwenye point 9 atabaki Nazo hadi mwisho na ataishia hatua ya makundi
Yanga atafuzu kibabe
Baada ya mechi ijayo mtaanza kusema mwenye point 12 au 10 atabaki nazo hadi mwisho na ataishia hatua ya makundi.Maajabu mwenye point 9 atabaki Nazo hadi mwisho na ataishia hatua ya makundi
Yanga atafuzu kibabe
CAFCC finalist atakuwa Berkane vs Zamalek/Simba / USM Alger.Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni.
Msimu huu kuna mambo kadhaa yanafanana kati ya Simba na Yanga katika mechi za kimataifa:
1. Simba na Yanga zote zilicheza ugenini ndani ya nchi moja ya Algeria ndani ya weekend moja pale Simba ilipoenda kucheza na Constantine na Yanga ikaenda kucheza na MC Algier. Sina uhakika kama hili limewahi kutokea.
2. Weekend hii ya jana Simba na Yanga zimecheza na timu mbili Sfaxien na TP Mazembe ambazo zinavaa jezi zenye mfanano.
View attachment 3194307
View attachment 3194308
3. Simba na Yanga zote zitacheza mechi zao za mwisho za makundi wakiwa nyumbani na hizi zinaweza kuwa mechi za maamuzi, kama siyo za kujaribu kuongoza kundi basi kufuzu.
4. Mwanzoni mwa msimu huu nilitabiri Simba na Yanga zote kucheza fainali za CAF msimu huu. Je hilo linaweza kutokea? Hilo likitokea linaweza kuibua ajabu lingine ambalo sidhani kama limewahi kutokea katika mashindano ya CAF kwa fainali ya mashindano yote mawili ya CAFCL na CAFCC kukutanisha timu za mataifa mawili tu Tanzania na Misri.
Uwe unajiheshimu mubaba...kama mwenzako kaandika kitu ambacho hakina ushabiki ww unaleta ukuda...Maajabu mwenye point 9 atabaki Nazo hadi mwisho na ataishia hatua ya makundi
Yanga atafuzu kibabe
Je mwenye pwent4 anaenda wapi?Maajabu mwenye point 9 atabaki Nazo hadi mwisho na ataishia hatua ya makundi
Yanga atafuzu kibabe
Hapana hili haiwezi kutokea msimu huu..Mwanzoni mwa msimu huu nilitabiri Simba na Yanga zote kucheza fainali za CAF msimu huu. Je hilo linaweza kutokea?
Kiko wapi?Umejitahidi sana kuleta mfanano. Ila mwisho wa siku ulitakiwa pia kuweka tofauti yao kwa kusema Yanga inashiriki Kombe la Klabu Bingwa Afrika, halafu simba inashiriki kombe la shirikisho aka Kombe la Luza.
Namba nne imebumaLeo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni.
Msimu huu kuna mambo kadhaa yanafanana kati ya Simba na Yanga katika mechi za kimataifa:
1. Simba na Yanga zote zilicheza ugenini ndani ya nchi moja ya Algeria ndani ya weekend moja pale Simba ilipoenda kucheza na Constantine na Yanga ikaenda kucheza na MC Algier. Sina uhakika kama hili limewahi kutokea.
2. Weekend hii ya jana Simba na Yanga zimecheza na timu mbili Sfaxien na TP Mazembe ambazo zinavaa jezi zenye mfanano.
View attachment 3194307
View attachment 3194308
3. Simba na Yanga zote zitacheza mechi zao za mwisho za makundi wakiwa nyumbani na hizi zinaweza kuwa mechi za maamuzi, kama siyo za kujaribu kuongoza kundi basi kufuzu.
4. Mwanzoni mwa msimu huu nilitabiri Simba na Yanga zote kucheza fainali za CAF msimu huu. Je hilo linaweza kutokea? Hilo likitokea linaweza kuibua ajabu lingine ambalo sidhani kama limewahi kutokea katika mashindano ya CAF kwa fainali ya mashindano yote mawili ya CAFCL na CAFCC kukutanisha timu za mataifa mawili tu Tanzania na Misri.
kamdomo kamdomoMaajabu mwenye point 9 atabaki Nazo hadi mwisho na ataishia hatua ya makundi
Yanga atafuzu kibabe
Utabiri wako umetulia sana.Ulijifunza au ni wa kurithi tu?Maajabu mwenye point 9 atabaki Nazo hadi mwisho na ataishia hatua ya makundi
Yanga atafuzu kibabe
Hahahhaa kweli ujinga kipaji xMaajabu mwenye point 9 atabaki Nazo hadi mwisho na ataishia hatua ya makundi
Yanga atafuzu kibabe
Hapa 4 ulipuyanga, uliamua kuwafurahisha mashabiki maandazi wa yanga. 🤣🤣Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni.