brazaj , asikudanganye mtu, hii ni international pressure. Bila hivyo haya majitu yasingelisalimu amri. Ndiyo maana nasema hata kesi ya Mbowe, Lisu has to go around the democratic world to request them to pressurize Samia to drop these fabricated charges against MboweKumekuwa na kelele nyingi za watu kuashiria kutoridhika na agenda kadhaa za serikali.
Rejea misimamo ya serikali na wapambe wao kwenye:
1. Uwepo wa Corona
2. Umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona
3. Uhitaji wa chanjo dhidi ya Corona
4. Umuhimu wa wanafunzi wanaopata mimba kurejea shule.
Ikumbukwe tumepita huku:
View attachment 2022822
Kwamba leo tuko hapa:
View attachment 2022824
Kipi walicho tunyanyapaa nacho, walikomaa nacho hadi mwisho?
Tutafika tu. Kwani wala ipo hiyana basi? Ya msingi zaidi yanayobakia:
I. Mbowe siyo gaidi
II. Tunataka katiba mpya.
Hawa ni suala la muda. Tutaelewana tu.
View attachment 2022825
Kwamba leo ajira zimeongezeka?
Labda kama ni mahsusi kwa ajili ya kuwaambia ndege.
brazaj , asikudanganye mtu, hii ni international pressure. Bila hivyo haya majitu yasingelisalimu amri. Ndiyo maana nasema hata kesi ya Mbowe, Lisu has to go around the democratic world to request them to pressurize Samia to drop these fabricated charges against Mbowe
Oh nilikuwa nimekusahau, nisamehe bure ! Wewe ni kati ya wapuuzi kama huyo brazajWewe ndio zuzu namba moja hapa JF.
For your information baada ya nyie wapuuzi wachache kujua ukweli, marais ambao hawatasahaulika hapa Tanzania ni Mwl Nyerere na JPMAlikuwa farah sana huyo mzee. Ataendelea kukumbukwa kama Waganda wanavyomkumbuka Idd Amin.
Laana ya shetani haimpati malaikaHongera umepata gongo la kumpigia mbaya wako JPM. Ulaaniwe na ukoo wako wote kuhangaika na waliofariki
Kama ilivyo laana ya ChademaLaana ya shetani haimpati malaika
For your information baada ya nyie wapuuzi wachache kujua ukweli, marais ambao hawatasahaulika hapa Tanzania ni Mwl Nyerere na JPM
CHADEMA...stands for good,Kama ilivyo laana ya Chadema
Laana ya shetani haimpati malaika
Usimchanganye Nyerere na kichaa,bora ungemuweka Mpaka.For your information baada ya nyie wapuuzi wachache kujua ukweli, marais ambao hawatasahaulika hapa Tanzania ni Mwl Nyerere na JPM
CHADEMA...stands for good,
CCM...stands for evils,
Goods always win against evils
Tatizo ni umri tu! JPM alikuwa ni mfano wa NyerereUsimchanganye Nyerere na kichaa,bora ungemuweka Mpaka.
Jiulize ni kwanini Jiwe anachukiwa sana na watu wenye akili na kupendwa na watu wale wa twaweza ukiwemo weweNyote mlaaniwe na roho zenu za husda. Mnaongea vitu kufuata mkumbo. Unashangilia mtoto akipata mimba arudi darasani, kwa wapuuzi kama brazaj sawa ila mwenye akili hawezi kufurahia maana serikali inatakiwa kuhakikisha mtoto ambaye hajawa tayari kubeba mimba haibebi.
Mimba haitoke hewani au kama ya Bikra Maria, bali inatoka katika kujamiiana; je, tunaruhusu kujamiiana? Mbona watu wanahangaika na matokeo (end result) baadala ya kupambana na chanzo (source).
Aidha unadhani bila kujua chanzo cha kuanza kujamiiana unakuwa umepata jawabu la tatizo, la hasha. Kama ni umaskini uliomsababisha mtoto ajamiiane ili apate pesa za kujikimu, je akirudi shule ufukara huo utakuwa umekoma au umeongezeka. Hili suala ni zito siyo kama wapuuzi kwa kumchukia JPM wanataka kutueleza
Acha kujitoa akili, labda akumbukwe na watu kama wewe, pil acha kumchanganya Nyerere na.....For your information baada ya nyie wapuuzi wachache kujua ukweli, marais ambao hawatasahaulika hapa Tanzania ni Mwl Nyerere na JPM
Yes our fate remains in our hands including seeking international assistance as we did during Uhuru struggle in Southern AfricaPamoja na yote, "our fate remains solely in our hands."
Au nasema uongo ndugu zangu?
Yes our fate remains in our hands including seeking international assistance as we did during Uhuru struggle in Southern Africa
Acha Uongo Biashara gani au BIASHARA za MACHINGA?Ni watu wasioielewa tu, hata wawe na PhD, wasiojua kuwa ajira is a function of new businesses na si ajira za serikali.
Acha Uongo Biashara gani au BIASHARA za MACHINGA?