Maajabu ya Rais Magufuli na bodi ya TRA

Maajabu ya Rais Magufuli na bodi ya TRA

Teh teh teh!
Hii ndo serikali ya CCM. Full kulindana!!
Mbwa kala Mbwa na bado anaendelea kufungwa na kujivinjari kwenye mazingira ya mfugaji!

Hii ni laana! Mwenye mbwa amelaaniwa, walishaji wa mbwa tumelaaniwa na bado eti ngwe ijayo tutaendelea kumtukuza mwenye mbwa ilhali kiuhalisia sie ndo tunaliwa!!

G.J Malisa, you nailed it my young!!
 
Chadema chama cha kutetea ufisadi na mafisadi.

Wamesahau kabisa kuwa walizunguka nchi nzima wakihubiri mabadiliko!!!

Njia ya muongo ni fupi
Wewe Jamaa una akili ndogo sana, and kama unamtoto na akaona huu upuuzi unaochangia hapa angekuzarau z sana, hata hili unaleta uchama??
 
Unachotetea ni nini? Kwamba Bodi haikuwa na makosa au ulitaka siku hiyo hiyo mtendaji mkuu naye afukuzwe kazi? Umeandika hivi: "That means watendaji ndio wanaopanga kila kitu then wanaleta kwenye Bodi ili kupata baraka." Ulimaanisha bodi ilitoa baraka akaunti hiyo ifunguliwe. Nani ashikishwe adabu kwanza? Bodi iliyobariki au mtendaji aliyeomba kuruhusiwa?

Maswali kama hayo yaliibuliwa wakati wale jamaa wa pesa ya maafa Kagera wanakamatwa. Ooh mkuu wa mkoa kaachwa, ooh sijui na yule akamatwe. Lakini sisi tunaojidai kujadili hatujiulizi zaidi ya hapo kwa kudhani Rais anapungukiwa taarifa kama sisi hapa JF. Rais hawezi kupungukiwa taarifa za aina hiyo. unawajua Polisi jamii ktk ofisi yako wako wangapi?

Tusichoshe vidole kujidai kuwa analytical wakati kosa liko wazi. Kama ataamua kumuachisha mtendaji mkuu wa TRA hiyo ni kwa info alizonazo ambazo wewe huna. Ulitakiwa ugundue kwamba hao board members wa TRA, kiutendaji wa serikali ni bosses wake. Unajua ni nani aliyeleta wazo hilo kwa kamishna wa TRA? stop guessing facts!
Jamani mbona mnakuwa wagumu kuelewa ??points zake nikwamba kama raisi kagundua hawa wajumbe wabodi nikweli wamefanya kosa hilo basi pia Hawafai kuewepo pia kwenye nafasi zao ,gavana ,waziri wa pesa ,co Wa tra wanatakiwa kuachia nyazifa zao
 
Nimemsikiliza Mhe.JPM leo ktk taarifa ya habari akieleza sababu za kuivunja Bodi ya TRA. Anasema watendaji wa TRA walikuwa wanachukua fedha zao za kujiendesha na kuziweka kwenye Fixed A/c katika mabenki mbalimbali ili wapate faida binafsi. Kwahiyo serikali inatoa pesa inawapa TRA, then TRA wanazichukua na kuziweka bank kwny fixed a/c halafu bank wanatumia pesa hizo kuikopesha serikali kwa riba kubwa. Kwa maana hiyo akaamua kuivunja Bodi ya TRA.

Wapiga zumari wa Mfalme kama desturi yao wameanza kupiga makofi na kutoa sifa kadha wa kadha kuonesha kuunga mkono maamuzi hayo. Lakini nimegundua ili uweze kupongeza uamuzi huu unatakiwa uwe na uelewa mdogo sana wa masuala ya kiuchumi na mambo ya utawala. Wanaoshangilia hawajui Bodi ni kitu gani, inafanyaje kazi, inawajibika kwa nani? Wao ni kupiga tu makofi ili mradi "Mfalme" awaone.

Anyway, kwa kuwasaidia ngoja niwape shule kdg. Bodi ya TRA kama zilivyo Bodi za mashirika mengine duniani ni non executive organ. Bodi ya TRA sio excutive, yani sio chombo kinachosimamia uendeshaji wa shughuli za kila siku za TRA. Sheria ya uanzishwaji wa TRA (Tanzania Revenue Authority Act, of 2006) kifungu cha 10(2) kinasema "The Board shall be a statutory organ responsible for the formulation and implementation of the policy of the Authority."

Na kifungu cha 10(4) kinasema "The Board may delegate to any member the power and authority to carry out on behalf of the Authority, such functions as the Board may determine"

Kwa mujibu wa vifungu hivi viwili shughuli za kila siku za TRA zimekaimishwa chini ya Ofisi ya Kamishna Mkuu wa TRA na watendani wake kama ilivyoelezwa pia katika sheria hiyo kifungu cha 16. Kamishna Mkuu ndiye mkuu wa Executive issues zote za TRA ikiwa ni pamoja na masuala ya ajira, mapato, matumizi na shughuli zote za utendaji. Yeye na Wakurugenzi wake na wakuu wa vitendo mbalimbali hupeleka ripoti zao kwenye Bodi ya TRA angalau mara moja kwa mwaka.

That means watendaji ndio wanaopanga kila kitu then wanaleta kwenye Bodi ili kupata baraka. Kamishna Mkuu wa TRA ndiye kama CEO au MD wa shirika. Chini yake kuna wakuu wa idara, wakurugenzi, wakuu wa vitengo na watendaji wengine. Hawa ndio hushughulika na masuala yote ya kila siku ya TRA. Bodi husubiri kupelekewa taatifa ya mipango na utekelezaji angalau mara moja kwa mwaka.

Kwahiyo kama ni deal ya kuficha pesa za TRA kwenye Fixed a/c sio issue ya Bodi. Ni issue ya management ambayo ndicho chombo executive. Kamishna na watendaji wake ndio wanaopanga kila kitu, halafu wanapeleka kwny Bodi kwa ajili ya kuseek approval.

Kwa kuwa Bodi inakaa mara moja tu kwa mwaka, kuna mambo mengi huwa yanaletwa kwa ajili ya kuseek approval. Kwa hiyo ni ngumu sana wajumbe wa Bodi kujua in details undani wa kila jambo. Watendaji ambao kimsingi wao ndio wataalamu, wanaweza kutumia opportunity hiyo kuwapotosha wajumbe wa Bodi. Wanawaambia "tuna mpango wa kuweka pesa kwny fixed a/c ni mpango mzuri na wenye faida" kisha wanataja na faida chache. Bodi inaona ni jambo jema, so ina approve. Kumbe ni deal la watu.

That means wanaopanga kila kitu ni watendaji, na Bodi ni watia muhuri tu. Bodi haijui mambo mengi kuhusu mipango ya TRA. Wanaojua ni watendaji, wanaokula dili ni watendaji, wanaoiba ni watendaji, wanaodeal na shughuli za kila siku ni watendaji. Kila kitu kinafanywa na watendaji.

Sasa katika mazingira haya kama TRA imehujumu pesa za umma unamuadhibu nani kati ya Bodi au watendaji? Kimsingi utashughulika na watendaji kwanza then Bodi baadae. Lakini eti Bodi imevunjwa halafu watendaji waliokula deal wanachwa, na watu wanashangilia. Uzwazwa.!

Hivi mnajua kazi za Bodi au mnatania? Yani deal iipangwe na watendaji, itekelezwe na watendaji, ipigwe na watendaji halafu Bodi iadhibiwe? Maajabu.

Simaanishi Bodi iko decent 100%, but my point ni kwamba JPM alitakiwa aanze na Watendaji kwanza kabla ya Bodi. Amfukuze kazi mtendaji mkuu wa TRA ambaye ni Kamishna Mkuu maana huyu ni signatory wa hizo documents huko bank zilizoidhinisha kufungua hizo fixed account. Hizo fixed account zisingeweza kufunguliwa bila saini ya Kamishna Mkuu wa TRA.

Hata Rais mwenyewe amesema "Wakuu wa Mashirika wamefanya mchezo huu muda mrefu, na wanapata mapesa mengi wanazigeuza Bodi kuwa inferior kwao." Hiki ni kielelezo kwamba JPM anajua kwamba wanaokula hizi hela ni wakuu wa mashirika, na sio Bodi. Ingekua ni deal ya Bodi basi bodi hizo zisingekubali kugeuzwa inferior na Wakuu wa mashirika.

Sasa kama JPM anajua ni deal ya wakuu wa Mashirika, imekuaje aivunje bodi badala ya kumfukuza kazi Kamishna Mkuu wa TRA na watendaji walioshiriki?

Haiingii akilini kabisa kwamba JPM anajua waliofanya deal ni watendaji, halafu anaivunja Bodi na kuwaacha watendaji wakipeta, halafu watu wanamshangilia. Nadhani hata JPM anawashangaa wanaomshangilia. Mwal.Nyerere aliwahi kusema "mtu mwenye akili akikuambia jambo la kijinga na wewe ukakubali anakudharau." Im guessing JPM anawadharau wanaomshangilia.

JPM alipaswa kumfukuza kazi Kamishna mkuu wa TRA, na watendaji wote waliohusika, kabla hajafikiria kuivunja Bodi ya TRA.

Lakini kuvunja Bodi na kuwaacha watendaji wakiendelea kupeta wakati watendaji ndio wamepanga hiyo deal si SAHIHI hata kidogo. Ni sawa na kusema katika Halmashauri fulani Mkurugenzi na watendaji wake wafanye ufisadi, halafu Rais avunje baraza la madiwani kwa sababu ya ufisadi huo, then amuache mkurugenzi na watendaji wake wote katika nafasi zao, bila kuwachukulia hatua zozote.

Anyway. Ngoja tumuamini JPM. Tuachane na hayo mambo ya kusema sijui Bodi sio watendaji. Tufanyie kazi alichosema Mhe.JPM kwamba Wajumbe wa Bodi walishiriki kupiga deal. Kama aliyosema JPM ni kweli kwamba wajumbe wa Bodi walipiga deal, kwanini bado wameachwa katika nafasi zao zingine za utumishi?

Nadhani kuna watu hawajanielewa, ni hivi; kwa mujibu wa sheria ya TRA, ya mwaka 2006 kifungu cha 16, kinawataja wajumbe wa Bodi ya TRA kuwa ni; Mwenyekiti anayeteuliwa na Rais, Katibu Mkuu wizara ya Fedha (Muungano), Katibu Mkuu wizara ya fedha (Zanzibar), Gavana BOT, Kamishna mkuu wa TRA, na wajumbe wanne wa kuteuliwa na Waziri wa Fedha.

Sasa Rais ametuambia Bodi ilicheza na pesa zetu kwa kuziweka kwenye Fixed Account. This means waliohusika ni waliotajwa hapo juu. Yani Katibu mkuu wa wizara ya fedha bara na yule wa Zanzibar walicheza na pesa zetu. Gavana wa BOT alicheza na pesa zetu. Kamishna mkuu TRA alicheza na pesa zetu. Lakini ajabu ni kwamba wote wamevuliwa ujumbe wa Bodi lakini bado wapo kwenye nafasi zao za urumishi.

Yani wameondolewa kwenye Bodi ya TRA lakini nafasi zao zilizowafanya kuwa wajumbe wa Bodi hazijatenguliwa. Gavana bado yupo BOT, Makatibu wakuu wa wizara za fedha bado wapo kwenye wizara zao, Kamishna bado yupo TRA etc. Na huko walipo wanasifiwa kuwa ni wachapakazi hodari, licha ya kwamba kwenye wanadaiwa walipiga dili. Paradox.!

Malisa GJ
Hiyo bodi inayokaa kikao kimoja kwa mwaka inatoka sayari ya Mars?bodi zote kwa hapa Tanzania wanakaa mara nne kwa mwaka, yaani kila robo na menejiment uleta report zao na kisha bodi uzijadili kulingana na budget zao, nakushangaa sana umeongea mambo mengi ambayo katika uharisia hayapo hivyo, menejiment wanapotaka kufanya jambo uliandaa na kisha ulipeleka kwenye bodi kwaajili ya baraka,ikitokea bodi ikabariki ndio menejimenti uingiza kwenye utaratibu wa utekelezaji, uwezi kuamua jambo lolote na kutekelezwa bila kibari cha bodi, Rais lazima amuwajibishe mwenyekiti maana kamteua ili akasimamie kile Rais anachokiamini,usisome kwenye vitabu kisha unakuja kutupa story hapa, tafuta mtu akwambie bodi kwa mwaka ina vikao vingapi,mipaka yake ni ipi na watumishi na wanatakiwa waendeshe vipi ofisi sio unakurupuka unakuja kuleta siasa kwenye maamuzi ya tusemezane
 
Nimemsikiliza Mhe.JPM leo ktk taarifa ya habari akieleza sababu za kuivunja Bodi ya TRA. Anasema watendaji wa TRA walikuwa wanachukua fedha zao za kujiendesha na kuziweka kwenye Fixed A/c katika mabenki mbalimbali ili wapate faida binafsi. Kwahiyo serikali inatoa pesa inawapa TRA, then TRA wanazichukua na kuziweka bank kwny fixed a/c halafu bank wanatumia pesa hizo kuikopesha serikali kwa riba kubwa. Kwa maana hiyo akaamua kuivunja Bodi ya TRA.

Wapiga zumari wa Mfalme kama desturi yao wameanza kupiga makofi na kutoa sifa kadha wa kadha kuonesha kuunga mkono maamuzi hayo. Lakini nimegundua ili uweze kupongeza uamuzi huu unatakiwa uwe na uelewa mdogo sana wa masuala ya kiuchumi na mambo ya utawala. Wanaoshangilia hawajui Bodi ni kitu gani, inafanyaje kazi, inawajibika kwa nani? Wao ni kupiga tu makofi ili mradi "Mfalme" awaone.

Anyway, kwa kuwasaidia ngoja niwape shule kdg. Bodi ya TRA kama zilivyo Bodi za mashirika mengine duniani ni non executive organ. Bodi ya TRA sio excutive, yani sio chombo kinachosimamia uendeshaji wa shughuli za kila siku za TRA. Sheria ya uanzishwaji wa TRA (Tanzania Revenue Authority Act, of 2006) kifungu cha 10(2) kinasema "The Board shall be a statutory organ responsible for the formulation and implementation of the policy of the Authority."

Na kifungu cha 10(4) kinasema "The Board may delegate to any member the power and authority to carry out on behalf of the Authority, such functions as the Board may determine"

Kwa mujibu wa vifungu hivi viwili shughuli za kila siku za TRA zimekaimishwa chini ya Ofisi ya Kamishna Mkuu wa TRA na watendani wake kama ilivyoelezwa pia katika sheria hiyo kifungu cha 16. Kamishna Mkuu ndiye mkuu wa Executive issues zote za TRA ikiwa ni pamoja na masuala ya ajira, mapato, matumizi na shughuli zote za utendaji. Yeye na Wakurugenzi wake na wakuu wa vitendo mbalimbali hupeleka ripoti zao kwenye Bodi ya TRA angalau mara moja kwa mwaka.

That means watendaji ndio wanaopanga kila kitu then wanaleta kwenye Bodi ili kupata baraka. Kamishna Mkuu wa TRA ndiye kama CEO au MD wa shirika. Chini yake kuna wakuu wa idara, wakurugenzi, wakuu wa vitengo na watendaji wengine. Hawa ndio hushughulika na masuala yote ya kila siku ya TRA. Bodi husubiri kupelekewa taatifa ya mipango na utekelezaji angalau mara moja kwa mwaka.

Kwahiyo kama ni deal ya kuficha pesa za TRA kwenye Fixed a/c sio issue ya Bodi. Ni issue ya management ambayo ndicho chombo executive. Kamishna na watendaji wake ndio wanaopanga kila kitu, halafu wanapeleka kwny Bodi kwa ajili ya kuseek approval.

Kwa kuwa Bodi inakaa mara moja tu kwa mwaka, kuna mambo mengi huwa yanaletwa kwa ajili ya kuseek approval. Kwa hiyo ni ngumu sana wajumbe wa Bodi kujua in details undani wa kila jambo. Watendaji ambao kimsingi wao ndio wataalamu, wanaweza kutumia opportunity hiyo kuwapotosha wajumbe wa Bodi. Wanawaambia "tuna mpango wa kuweka pesa kwny fixed a/c ni mpango mzuri na wenye faida" kisha wanataja na faida chache. Bodi inaona ni jambo jema, so ina approve. Kumbe ni deal la watu.

That means wanaopanga kila kitu ni watendaji, na Bodi ni watia muhuri tu. Bodi haijui mambo mengi kuhusu mipango ya TRA. Wanaojua ni watendaji, wanaokula dili ni watendaji, wanaoiba ni watendaji, wanaodeal na shughuli za kila siku ni watendaji. Kila kitu kinafanywa na watendaji.

Sasa katika mazingira haya kama TRA imehujumu pesa za umma unamuadhibu nani kati ya Bodi au watendaji? Kimsingi utashughulika na watendaji kwanza then Bodi baadae. Lakini eti Bodi imevunjwa halafu watendaji waliokula deal wanachwa, na watu wanashangilia. Uzwazwa.!

Hivi mnajua kazi za Bodi au mnatania? Yani deal iipangwe na watendaji, itekelezwe na watendaji, ipigwe na watendaji halafu Bodi iadhibiwe? Maajabu.

Simaanishi Bodi iko decent 100%, but my point ni kwamba JPM alitakiwa aanze na Watendaji kwanza kabla ya Bodi. Amfukuze kazi mtendaji mkuu wa TRA ambaye ni Kamishna Mkuu maana huyu ni signatory wa hizo documents huko bank zilizoidhinisha kufungua hizo fixed account. Hizo fixed account zisingeweza kufunguliwa bila saini ya Kamishna Mkuu wa TRA.

Hata Rais mwenyewe amesema "Wakuu wa Mashirika wamefanya mchezo huu muda mrefu, na wanapata mapesa mengi wanazigeuza Bodi kuwa inferior kwao." Hiki ni kielelezo kwamba JPM anajua kwamba wanaokula hizi hela ni wakuu wa mashirika, na sio Bodi. Ingekua ni deal ya Bodi basi bodi hizo zisingekubali kugeuzwa inferior na Wakuu wa mashirika.

Sasa kama JPM anajua ni deal ya wakuu wa Mashirika, imekuaje aivunje bodi badala ya kumfukuza kazi Kamishna Mkuu wa TRA na watendaji walioshiriki?

Haiingii akilini kabisa kwamba JPM anajua waliofanya deal ni watendaji, halafu anaivunja Bodi na kuwaacha watendaji wakipeta, halafu watu wanamshangilia. Nadhani hata JPM anawashangaa wanaomshangilia. Mwal.Nyerere aliwahi kusema "mtu mwenye akili akikuambia jambo la kijinga na wewe ukakubali anakudharau." Im guessing JPM anawadharau wanaomshangilia.

JPM alipaswa kumfukuza kazi Kamishna mkuu wa TRA, na watendaji wote waliohusika, kabla hajafikiria kuivunja Bodi ya TRA.

Lakini kuvunja Bodi na kuwaacha watendaji wakiendelea kupeta wakati watendaji ndio wamepanga hiyo deal si SAHIHI hata kidogo. Ni sawa na kusema katika Halmashauri fulani Mkurugenzi na watendaji wake wafanye ufisadi, halafu Rais avunje baraza la madiwani kwa sababu ya ufisadi huo, then amuache mkurugenzi na watendaji wake wote katika nafasi zao, bila kuwachukulia hatua zozote.

Anyway. Ngoja tumuamini JPM. Tuachane na hayo mambo ya kusema sijui Bodi sio watendaji. Tufanyie kazi alichosema Mhe.JPM kwamba Wajumbe wa Bodi walishiriki kupiga deal. Kama aliyosema JPM ni kweli kwamba wajumbe wa Bodi walipiga deal, kwanini bado wameachwa katika nafasi zao zingine za utumishi?

Nadhani kuna watu hawajanielewa, ni hivi; kwa mujibu wa sheria ya TRA, ya mwaka 2006 kifungu cha 16, kinawataja wajumbe wa Bodi ya TRA kuwa ni; Mwenyekiti anayeteuliwa na Rais, Katibu Mkuu wizara ya Fedha (Muungano), Katibu Mkuu wizara ya fedha (Zanzibar), Gavana BOT, Kamishna mkuu wa TRA, na wajumbe wanne wa kuteuliwa na Waziri wa Fedha.

Sasa Rais ametuambia Bodi ilicheza na pesa zetu kwa kuziweka kwenye Fixed Account. This means waliohusika ni waliotajwa hapo juu. Yani Katibu mkuu wa wizara ya fedha bara na yule wa Zanzibar walicheza na pesa zetu. Gavana wa BOT alicheza na pesa zetu. Kamishna mkuu TRA alicheza na pesa zetu. Lakini ajabu ni kwamba wote wamevuliwa ujumbe wa Bodi lakini bado wapo kwenye nafasi zao za urumishi.

Yani wameondolewa kwenye Bodi ya TRA lakini nafasi zao zilizowafanya kuwa wajumbe wa Bodi hazijatenguliwa. Gavana bado yupo BOT, Makatibu wakuu wa wizara za fedha bado wapo kwenye wizara zao, Kamishna bado yupo TRA etc. Na huko walipo wanasifiwa kuwa ni wachapakazi hodari, licha ya kwamba kwenye wanadaiwa walipiga dili. Paradox.!

Malisa GJ

Malisa GJK wewe ndiyo hujui maana ya Bodi. Ukiambiwa hii ni Bodi ya TANESCO ina maana kwamba hiyo ndiyo TANESCO. Ukisikia wakisema TANESCO wameamua kushusha bei au kupandisha bei, maana yake ni kwamba Bodi imeamua.

Huwezi kulinganisha Bodi na watumishi wake, DG ni mtumishi wake, hana ubavu wowote kwa Bodi. Kazi ya DG ni kushauri, Bodi ndiyo yenye madaraka ya kuamua. Kama alishauri uozo, Bodi inakataa. Asiposhauri kitu, Bodi ina madaraka ya kutoa maamuzi yake suo motto, haimsubiri wala haimtegemei yeye. Kazi ya Bodi ni nzito, kama unaona huiwezi wengine huwa wanakaa uteuzi. Ukishakubali umekubali yote.

Hilo la uwakilishi au uteuzi wa kiofisi hakuna lililoharibika hata kidogo. Kama sheria inasema Bodi ya TANAPA itakuwa na mtu kutoka Ofisi ya IGP, maana yake ni kwamba IGP kabebeshwa mzigo mzito. Huwezi kusema aharibu huku halafu achekewe tu azidi kuharibu - alipaswa ema aende yeye mwenyewe au awe makini na mtu anayempeleka kumuwakilisha kwa sababu wajibu bado ni wake 100%. Kama maamuzi yamefanyika mabaya, bila shaka IGP atamwajibisha mteule wake au la atawajibika yeye mwenyewe.

Kwa kifupi, Bodi siyo mchezo na wala si ngonjera kama unavyotaka kutuaminisha.

Bill Marconi.
 
1. Uzuri ni kwamba wote tumemsoma mleta hoja. Labda tofauti ni namna kila mtu alivyomuelewa.

2. Mleta mada alichojadili ni namna ya hatua za wale wanaosemekana kuwa "wakosaji" walivyoadhibiwa na sio modality ya namna pesa zinavyokusanywa na TRA...kivipi na zinakwenda wapi!!

3. Mleta mada hakujadili kama management ya TRA na bodi yake walifanya kosa kufungua Fixed Deposit Account ktk benki za kibiashara ama laa!!

4. Kwa mtazamo wa Rais Magufuli na washauri wake, hilo ni kosa na ndiyo maana "kaitumbua" bodi hii.

Na kwa nilivyoelewa mimi, hili ndilo linaloleta msingi wa mjadala huu, kwamba, kuna makosa ya kiufundi ktk maamuzi haya yaliyochukuliwa na Rais Magufuli. Angeenda mbele zaidi ya bodi!!

Kwamba, inaleta taabu kidogo kuivunja bodi huku ukiiacha management ya TRA ambao ndiyo watendaji wa shughuli za siku kwa siku za Mamlaka ya Mapato Tanzania!

Si hivyo, bali inaleta taabu kidogo kuyaelewa na kuyaamini maamuzi haya kama ni ya kizalendo kweli au kuna kitu kingine tu nyuma ya pazia kilichofichwa nyuma ya uamuzi huu!

Kwa sbb miongoni mwa wajumbe wa bodi hii ni watu ambao wana hold positions nyeti na kwa sbb ya nafasi zao kisheria wanaingia moja kwa moja kama wajumbe wa bodi hii "iliyotumbuliwa" kwa tuhuma za kubariki ufisadi kwa mujibu wa "mtukufu" Rais!!

Watu hawa kwa nyadhifa zao ni Gavana wa BoT, Katibu Mkuu - WF - JMT na Katibu Mkuu WF- SMZ na Kamishna Mkuu wa TRA.

Sasa hawa watawezaje kuwa wachafu na mafisadi kwenye bodi ya TRA at the same time wawe clean ktk taasisi zao wanazozisimamia??

Haiingii ktk akili za watu wanaofikiri vizuri, labda inawezekana kwa watu ambao akili zao zimefungiwa kwenye vibuyu pekee!!

Mwisho kabisa, naamini haya uliyohoji wewe hapa yanapaswa kuanzishiwa uzi separate kabisa nje ya huu wa Malisa GJ. Au unaonaje bhana? Niko wrong?

The Tanzania Revenue Authority (TRA) is a government agency of Tanzania, charged with the responsibility of managing the assessment, collection and accounting of all central government revenue. It is a semi-autonomous body that operates in conjunction with the Ministry of Finance and Economic Affairs.

THE BOARD AND ITS FUNCTIONS

Establishment of the Board 10.-(1) There is established a Board as the governing body of the Authority which shall consist of the following members –

(a) a Chairman appointed by the President on the recommendation of the Minister;

(b) the Permanent Secretary of the Ministry of Finance of the Union Government;

(c) the Principal Secretary of the Ministry of Finance of the Zanzibar Government;

(d) the Governor of the Bank of Tanzania;

(e) the Commissioner-General of the Authority;

(f) the Permanent Secretary of the Ministry of Planning; and

(g) four other members appointed by the Minister with professional knowledge and experience in finance, commerce, economics or law from among institutions of financial, commercial, legal or economic nature having no vested interests in the Authority.

(2) The Board shall be a statutory organ responsible for the formulation and implementation of the policy of the Authority.

(3) The Minister may give directives to the Board regarding the performance of its functions and it shall be the duty of the Board to comply with those directives.

(4) The Board may delegate to any member the power and authority to carry out on behalf of the Authority, such functions as the Board may determine.

[s. 9] Tenure of 11.-(1) A member of the Board other than an ex officio member shall hold office –
8
office

(a) on such terms and conditions as are specified in his instrument of appointment;

(b) in the first instance, for a period not exceeding three years; and

(c) shall be eligible for re-appointment only for a subsequent period not exceeding three years.

(2) The Minister may terminate or suspend the appointment of a member –

(a) for the member's inability to perform the functions of his office;

(b) for misbehaviour;

(c) if the member is convicted of a criminal offence involving moral turpitude and in respect of which a maximum penalty exceeding six months imprisonment may be imposed;

(d) if the member, in any particular case, fails to comply with the provisions of paragraph 4 of the Second Schedule relating to the disclosure of interest; or

(e) for any other sufficient cause. [s. 10]

Meeting of the Board

12.-(1) The provisions of the Second Schedule shall apply to the meetings of the Board (and other matters provided for in that Schedule) and the Minister may by statutory instrument, amend the Schedule.

(2) The Board may co-opt any person to participate in the deliberations, but a person so co-opted shall have no right to vote. [s. 11]

Akili yako na ile ya Malisa ndizo zilizofungiwa kwenye kibuyu.

Raisi amevunja bodi na ataiunda tena ila mwenyekiti hatakuwa Bernard Mchomvu.

Hii ni bodi ambayo ilikuwa imesalia katika mipango ya raisi katika kuunda taasisi hizi umma , hatufahamu ipi next TANESCO au la.

Hivyo cha msingi bodi ya TRA imevunjwa na pia nafasi ya naibu kamishna imejazwa.

Tuweke siasa pembeni tuache propaganda za kijinga.
 
Kama fukuzafukuza haitasababisha kipato changu kuongezeka basi magu ajue atapambana na maneno kama aliyotupiwa masaburi alipo go shore siku yake ikifika.

Hamna jinsi wala hakuna kujipendekeza.
 
Malisa zaidi ya kukurupuka sijawai kumuona ana Hoja.. Ni mtu anaelamba miguu ya wanaomtuma hana zaidi ya kujipendekeza tu
 
Malisa ndio mana Chadema walimkata Ubunge kura za maoni Chadema wakampa Komu, sababu ukurupukaji
 
UNAJITOA FAHAMU EEH?

Ukikamatwa kwa wizi, na baadaye ikagundulika ulishirikiana na mlinzi, hilo linaondoa makosa yako? Hebu irejee kesi ya Babu Seya, halafu ulinganishe na madudu yako, ndio utajua kuwa kuwa Malisa kapiga ikulu na wewe sio wa capacity ya kujibu hoja.

MMP naona unamapenzi binafsi Na huyo Malisa.Kwa sababu tu kapiga ikulu Basi tumfanye NABII EEEEH.
 
Kiongozi Nina swali moja, kuna haja gani Kua na bodi isiyo na Uwezo wa kusimamia kindakindaki watendaji?

Au kama hivyo ndivyo kwanini bodi inakutana Mara chache kwa mwaka wakati kuna mambo mengi ya kufuatilia kutoka kwa watendaji?
Swali nzuri Mkuu ngoja na mimi niongezee hapo. Hivi kuna haja gani ya kuwa na waziri wa fedha wakati ufisadi unatokea na yeye yupo hapo kila siku? Achana na bodi ya mara moja kwa mwaka. Tuna haja gani ya kuwa na Waziri Mkuu wakati ufisadi unafanyika na yeye ndie mtendaji mkuu wa shughuli za kila siku za serikali?
 
Wewe Jamaa una akili ndogo sana, and kama unamtoto na akaona huu upuuzi unaochangia hapa angekuzarau z sana, hata hili unaleta uchama??

Kwa sababu huyo nabii malisa ni mchama mkubwa ambaye kazi yake kubwa NI kuona JPM hafanikiwi.Kwa Uzuri wa JF Hata uwe nabii gani.Ngonjera zako hazipigiwi vigelegele.
Cha kushangaza zaidi watu wanao upenda uchama wakibanwa wanalilia ohhh uchama.
 
Vipi ikiwa management ndio imevujisha ulaji wa bodi?
Ni kwelii mkuu bodi ina nguvu kuliko kuliko management.lakin kama ishu ni makosa ya kiutendaji haiwezekani ukaicha management kuiadhibu
 
Jamani mbona mnakuwa wagumu kuelewa ??points zake nikwamba kama raisi kagundua hawa wajumbe wabodi nikweli wamefanya kosa hilo basi pia Hawafai kuewepo pia kwenye nafasi zao ,gavana ,waziri wa pesa ,co Wa tra wanatakiwa kuachia nyazifa zao
Siyo lazima. Unaweza ukashindwa kuwa waziri lakini uwezo wako wa kuwa mbunge ukabakia. Au ukashindwa kuwa Headteacher lakini uwezo wako wa kufundisha hesabu za kichwa ukabaki. Tatizo tu ni sheria inayotaja wajumbe wa bodi kwa vyeo vyao. Sijaisoma lakini huenda kuna uwezekanao wa kuikiuka kwa upande wa rais.
 
unata

bahati mbaya huja pinga hoja yake kwa hoja,always muhuni au malaya huona wenzie kwa jicho hilo jitafakari mheshimiwa
Tunayo matatizo ktk mfumo wa elimu ndo maana mtu anaamua kujibu kitu tofauti kabisa. Tusamehe tu!
 
Alikuwa well informed kwa wakurugenz wake,ila kilichotokea tumeshuhudia,wengine walibalaswa siku ya KIAPO,wengine kushikia watu bastola,wengine kukimbia vituo vya kaz the onr who is well informed only GOD
Nadhani unaingiza tatizo lenye sababu tofauti kabisa. Uteuzi na kuondolewa dak ya mwisho ni kawaida kwa mtu makini. Siku za nyuma watu wanaochomekwa dak za mwisho walikuwa wanapeta, wewe ukidhani uteuzi ulikuwa makini. Jadili kilicho kwenye thrd.
 
Upinzani ukikaa kimya ni hatari sana kwa nchi hii.

Magu katufanya watanzania kama watoto!

Pathetic!

Na bado mtanyooka tu hadi tufike 2020, heshima itarudi yenyewe. Kazi buti JPM usilegeze kabisa.
 
Yaani we ndo kiazi kweli kweli. Kwanza umesema unatupa shule ya uchumi kumbe upuuzi mtupu, shule ya uchumi hapo iko wapi? Zipi economic modals ambao umezielezea? Mfani, CGE or Input output matrix modals au zinginezo. Au kwa vile akili yako ni ya kupinga tu kila kitu umeona usipitwe na hilo bila kuonesha upumbafu wako.
Kama ukawa mna wachambuzi vihiyo namna hii basi nimekubali ni genge LA wahuni na kakikundi Fulani ka wanaotaka kula tu kwa namna yoyote illegal au legal.
Uandikaji wenyewe ni kidato cha pili, waliomaliza mitihani na majibu hayajatoka. Subiri urudie darasa.
Wapi nilisema nakupa shule ya uchumi? Au umekuja JF kujifunza uchumi?
Tangu umejiunga, angalia unvyoporomosha na kumaliza nafasi ya wasomaji. Rubbish!
 
Back
Top Bottom