Kwanini unashindwa kukubaliana na ukweli ata wa picha? Unabisha ili iweje? Wewe unajuaje kama hivo ni vibanda?
Kwa elimu ya bure tu ni kua hiyo sio mara ya kwanza kutokea dunia sawa Mpendasifa?
Sio photoshop hii ilitokea Indonesia ule mwaka wa tsunami
Ndugu yangu ata usihangaike kubishana nae maana umempa maelezo ya kutosha na hajaelewa na umempa mpaka link bado anabisha tu.....ALOPOTOSHWA NA MUNGU MWANADAM HAWEZ KUMUONGOA
unaona sasa.,habari ya ukafiri inatoka wapi ndugu?Hakuna aliyelazimishwa kuamini hapa...tatizo tunatofautiana ki imani. Hata siku 1 kafiri hawezi kukubali kitu cha ki islam hata akiwa anajua ukweli. Ila mwenyezimungu ni muweza wa kila jambo.kwake hakuna linaloshindikana. Kama unabisha hili unamaanisha Mungu hana uwezo hata na kitu kidogo kama hiki...Naudh billah min dhaalika!
Usiwe unaongea tu, fungua hii link
https://docs.google.com/document/d/1s-tgtepPzR0K_urOihTKeuysYo-0_lgMSjCYRdw3LR4/mobilebasic?hl=en
Nyie ndo kawaida yenu kutengeneza pics of that kind ili kuinstill fear kwenye mind za watu waone kuwa dini yenu ni ya kweli. Atuambie hiyo ni nchi gani tutafute evidence za kweli
Inabidi sasa jamii zinazoishi sehemu zenye historia ya majanga kama hayo zianze kujenga na kuishi kwenye misikiti.
Lakini kwa nini aprotect majengo halafu aruhusu binadamu asombwe?Does God love buildings than his people?
When the solution of the problem is simple,God is answering--A.Einstein (Hapo lazima msingi WA masjid ulikuwa imara zaidi)

Hiyo ni kweli ilitokea Indonesia mwaka 2004 wala haina ubishi wala hamna anaetafuta sifa hapo ila ni fact watu zaidi ya laki 2 walipoteza maisha na huo msikiti uliwekwa katika TV nyingi duniani angalia hata YouTube
Kwa mungu wenu msikiti ni bora zaidi kuliko watu laki mbili, au wote walikuwa makafiri?...nauliza tu!
Haya yanakutoka ni chuki binafsi au, maana mleta mada ameonesha yaliyotokea Indonesia na kufa kwa watu ni kwa ajili ya tsunami. Mimi siwezi kubishana kwa jazba ila nakujulisha tu kuwa Sio lazima watu wakifa na majengo yote yaanguke (hiyo ni fikra yako) siwezi kujua kama kuna matukio yoyote ya ajabu yamewahi kukutokea, the older you get the more you will see buddy.
Ahsante sana kwa kukubali kuwa sio lazima majengo yote yaanguke
Maajabu duniani yanatokea na haina haja ya kubishana pasipo uelewa wa kutosha matukio kama haya ni nadra kutokea ni kumshukuru Mungu kwa kila kitu. Kwani yeye ndio anaejua zaidi.
jua huzunguka dunia kila siku asb na jioni usiku hupumzika ktk tope,tena jua na mwezi ni marafiki wakubwa huongea na kusalimiana LOL!simple science hayo majengo yaliopo pembeni lazima yali act kama "guards" ya mawimbi
Kwanini unashindwa kukubaliana na ukweli ata wa picha? Unabisha ili iweje? Wewe unajuaje kama hivo ni vibanda?
Kwa elimu ya bure tu ni kua hiyo sio mara ya kwanza kutokea dunia sawa Mpendasifa?