Maajabu ya mwanaume niliyenae

Mkiwa faragha haujishughulishi ndio maana haoni umuhimu Wa kuwa na wewe
 
KWEL NYINYI KAMA KUKU HAMNA FORMULA, JAMAA ANAKUHONGA, BADO ANAKUGONGA WAKAT MM MWAKA WA PILI NAGONGA BILA HATA KUHONGA. SASA UNATAKA UFANYIWE NN...
 
Sio wehu, nilikuja nikijua nitavipata vyote, kumbe huna vyote, basi ndio ninaamua kutafuta vile usivyonavyo.
Kwan nlikuahid ntakupa v yote na unaamin na huko unapoenda utapata v yote?
 
Ntakusaidia kwenye swala la kukupetipeti,ila matumizi yatabaki kwake,upo tayali?
 
Kwan nlikuahid ntakupa v yote na unaamin na huko unapoenda utapata v yote?
Suala sio kuniahidi bali ndivyo inavyotakiwa iwe, kwakuwa hakuna vyote ndio maana anachepuka(hakuachi) ili akapate vile usivyonavyo.
 
Suala sio kuniahidi bali ndivyo inavyotakiwa iwe, kwakuwa hakuna vyote ndio maana anachepuka(hakuachi) ili akapate vile usivyonavyo.
ha ha ha wanawake bwana your too selfish mtasema mmeletwa hii dunia kupewa kila kitu, nakuhakikishia adamu kama kungekua na mwanamke mwengne pamoja na hawa angechepuka tu kwa hawa,
back to the topic hakuna alie perfect but you make your own perfect kama utasubir ukapewe na kila mtu ili utimize perfectism yako sina uhakika kama utafanikiwa
 
Sasa ww kukazwa unakazwa, matumizi unapewa, nyumba umepangiwa ebohh!! upo mkoa gani ww laiti ungekuwa dar usingelalamika hvo
 
Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.

Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
Hamridhikagi nyie, mbona mkitongozwa na makapuku hamkubali?
 
Tatizo lenu mnatufanya sisi kama maroboti, hela sisi kuumwa sisi kukazwa kisawa sawa sisi pengine ww ni ligogo tu kazi kupiga makelele, bado pia unalilia kupetiwa tutafanya mangapi? mshika mawili moja humponyoka,
 
Dada sio Wanaume wote wanapetipeti ila wanahudumia kila kitu na wanaohudumia huwa hawana maneno mengi kwenye mapenzi
 

Kwahiyo unakubali kuwa kila binadamu ni selfish right? Kwamba hata Adam angechepuka km kungekuwa na wanawake wengine!

Hivyo ni vitu vilivyo nje ya uwezo wetu,inabidi vifanywe na mwingine ndio maana kuna jinsia mbili, kama ingekuwa unaweza kucreate yo own perfectism basi kungekuwa na jinsia moja tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…