Tangu lini umeanza kuwa msemaji wa Mungu, he was watching me since I was born and he'll keep on watching me till the day I die... you know why..... mimi ni sura na mfano wa Mungu as he said.... I resemble him.... when you see me you see God.... (tutapishana tafsiri tuu ya haya maneno ila ndivyo ilivyo, bisha hadi lyamba .......teh)
Hapo kwenye red unatilisha huruma, yaani umechanganyikiwa na wanawake hadi unachapia maneno hata huelewi unaandika nini masikini..... poyee toto....πππ
Halafu, shauri langu nilishakupa uhangaike nalo lakini huachi lirudia....
Usiku mwema....