Hapana chezea nguvu ya mwanamke
Mmmhhhh! Jamaa......Ha ha ha... Dah haya bana, vipi kule jamaa alirudi?
Acha tu Mkuu hata yeye mwenyewe hawaelewi.. Ndo Maana katuambia tuishi nao kwa akili...*Women is Complex Godmade Thing Ever*
Shauri yako.. wewe danganaya uma tuu... Mungu anakuona... "God is watching you"
Hii lugha inabidi ipigwe stop humu kwanini tutengwe hiviMi mwenyewe nimetoka kapa.
malkia wa nguvu. LinahNi kiumbe dhaifu km tulivyokalilishawa, ila kiuharithia Mwanamke sio kiumbe dhaifu,Ni kiumbe hatari Sana,hakuna aliyewai kumuelewa kiumbe huyu,hata wao kwa wao hawaelewanagi..
Hana sauti ya simba,hana nguvu za kupigana,ila anauwezo wa kumuadhibu yeyote,au kwa kumtumia mwanaume,au yeye km yeye kukunyoosha na ukanyooka..
Penye wanaume 10,Ni wanaume wawili pekee ndio wanauwezo wa kupingana na akisemacho mwanamke,na Kati ya hao wawili Ni mmoja pekee ndio anauwezo wa kupingana ana kwa ana na kiumbe huyuu, uyu mwinge atakataa kwa meseji..
We jiulize kwanini Mama Clinton alishinda kura za wote,ila akashindwa kwenye kura za wajumbe..
Habari wana MMU..
in every succful man,thr is woman behind.HIV nguvu ya mwamamke IPO wapi haswa, sielew ujue Valentina
Hata kama hujaombwa lazima ujipendekeze ili uonekane unajaliTena bila shuruti
Najua sana, mwanaume ni lazima utoe, usipotoa unajisikia vibayaKumbe unajua
Safi sana.... Wafundishe na wenzio waache ubahiliNajua sana, mwanaume ni lazima utoe, usipotoa unajisikia vibaya
Hata kama bibi ana pesa zaidi siyo akuhudumie kila siku,
Unaweza kupata shida ya kisaikolojia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umenifurahisha sana ma dearSasa hapa watakuja vichwa vikubwaa, kumbe mengine ni kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.