MK254,
..LOL!!
..dont mess with CCM.
..umeona walivyo wakali, wakatili, na wenye kiburi.
..sasa haya matusi, dharau, na kejeli, ndiyo maisha yetu ya kila siku.
..kufiria maendeleo kwetu sisi is a luxury, kwanza tunataka tuishi kwa HAKI na USAWA.
NB:
..unajua inaweza kupita a whole CENTURY na bado CCM wakaendelea kusingizia kwamba Kenya ilikuwa colony na Tanzania ilikuwa protectorate kwa hiyo lazima sisi tuwe nyuma ya Kenya.
..Hivi mbona Angola leo imewa-bailout Portugal ambao walikuwa their colonial masters? My point ni kwamba it is up to us to change our bad situation into something good. It doesnt make sense kuwa mpaka leo tunasingizia Waingereza kwa matatizo yetu.
..Nadhani tatizo letu lingine wa-Tanzania ni kwamba we are so good at kuleta visingizio ktk uzembe unaofanywa na CCM.