Maajabu ya Musa: Miaka 51 ya Kenya, Miaka 54 ya Tanzania

MK254,

..LOL!!

..dont mess with CCM.

..umeona walivyo wakali, wakatili, na wenye kiburi.

..sasa haya matusi, dharau, na kejeli, ndiyo maisha yetu ya kila siku.

..kufiria maendeleo kwetu sisi is a luxury, kwanza tunataka tuishi kwa HAKI na USAWA.

NB:

..unajua inaweza kupita a whole CENTURY na bado CCM wakaendelea kusingizia kwamba Kenya ilikuwa colony na Tanzania ilikuwa protectorate kwa hiyo lazima sisi tuwe nyuma ya Kenya.

..Hivi mbona Angola leo imewa-bailout Portugal ambao walikuwa their colonial masters? My point ni kwamba it is up to us to change our bad situation into something good. It doesnt make sense kuwa mpaka leo tunasingizia Waingereza kwa matatizo yetu.

..Nadhani tatizo letu lingine wa-Tanzania ni kwamba we are so good at kuleta visingizio ktk uzembe unaofanywa na CCM.
 
JokaKuu

Kwa hizo jeuri za CCM na jinsi wameziba maskio na hawataki wala kujadili chochote, yaani hadi inatia kero, yaani ningekua na uwezo wa kuja na kupiga kura huko ili kuwapiga chini tu. Maana hadi kuzimu, hawatabadilika, unakuta mtu maskini wa kutupwa lakini hataki kuskia nini wala nini dhidi ya CCM, sijui walilishwa nini.

Ndivyo hata mimi niling'eng'ania KANU ya kwetu hadi tukapigwa chini, hamna jingine hapo.
cc: kui
 
Last edited by a moderator:
MK254,

..LOL!!

..dont mess with CCM.

..umeona walivyo wakali, wakatili, na wenye kiburi.

..sasa haya matusi, dharau, na kejeli, ndiyo maisha yetu ya kila siku.

..kufiria maendeleo kwetu sisi is a luxury, kwanza tunataka tuishi kwa HAKI na USAWA.

NB:

..unajua inaweza kupita a whole CENTURY na bado CCM wakaendelea kusingizia kwamba Kenya ilikuwa colony na Tanzania ilikuwa protectorate kwa hiyo lazima sisi tuwe nyuma ya Kenya.

..Hivi mbona Angola leo imewa-bailout Portugal ambao walikuwa their colonial masters? My point ni kwamba it is up to us to change our bad situation into something good. It doesnt make sense kuwa mpaka leo tunasingizia Waingereza kwa matatizo yetu.

..Nadhani tatizo letu lingine wa-Tanzania ni kwamba we are so good at kuleta visingizio ktk uzembe unaofanywa na CCM.

Spot on mkuu!, yaani tukubali tukatae lakini ukweli ni kuwa tumepigwa chini somehow na majirani. Wenzetu saa hii wanaongelea 'some new plans for something', or 'that kind of development', sisi we're still wrestling with CCM...
And our best excuse kuwa nyuma....UKOLONI

...you can't top that!
 
JokaKuu

Kwa hizo jeuri za CCM na jinsi wameziba maskio na hawataki wala kujadili chochote, yaani hadi inatia kero, yaani ningekua na uwezo wa kuja na kupiga kura huko ili kuwapiga chini tu. Maana hadi kuzimu, hawatabadilika, unakuta mtu maskini wa kutupwa lakini hataki kuskia nini wala nini dhidi ya CCM, sijui walilishwa nini....
cc: kui

MK254 ...this's how messed up the system is, am sorry to say this but some people can't even think out of the box, am not sure if 'brain washed' is the correct word for this. People are not courageous enough to stand and be like, "ccm pumzika, let's try something different". Na hii inasababishwa na moja ya mifumo ya CCM, mfumo wa Elimu.
 
Ndiyo maana unaamini hata kama Chadema kikiongozwa na maiti kitaleta maendeleo?
na hata kama chadema wasingeleta maendeleo kabisa (which is not the case anyway) acha tu tujaribu na wengine. kwa nini ssm hao hao miaka na miaka??!! what is so special in ssm wakati lichama lenyewe limebadilika kuwa la wapiga dili za kifisadi chungu nzima?!!!!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Spot on mkuu!, yaani tukubali tukatae lakini ukweli ni kuwa tumepigwa chini somehow na majirani. Wenzetu saa hii wanaongelea 'some new plans for something', or 'that kind of development', sisi we're still wrestling with CCM...
And our best excuse kuwa nyuma....UKOLONI

...you can't top that!
yan ccm ni heri ya mchawi au shetwan hakiyamama. kuna mwenzetu hapo juu katoa mfano wa daraja la mto wami. daraja lilijengwa na mkoloni. sasa kwa barabara, na daraja, muhimu kama ile, inayounganisha mikoa ya tanga, kilimanjaro, arusha, nchi kadhaa za kaskazini mwa Tanzania kama kenya uganda, somalia, ethiopia nk na mikoa ya Kusini mwa Tanzania, hususani Dar esSalaam, cha ajabu ccm, kwa miaka 50, imeshindwa kupanua lile daraja japo magar yapishane!!! mvua zikinya maji yanajaa hadi juu ya daraja na wasafiri huwa wanaliwa mamba hapo hapo darajani gari likiziwa na maji linatumbukia mtoni!!!! yaan daraja utafikiri ni kivutio cha kizaman kimeachwa makusudi kuelekea kwenye mbuga za kitalii!!!!!
 
na hata kama chadema wasingeleta maendeleo kabisa (which is not the case anyway) acha tu tujaribu na wengine. kwa nini ssm hao hao miaka na miaka??!! what is so special in ssm wakati lichama lenyewe limebadilika kuwa la wapiga dili za kifisadi chungu nzima?!!!!

Mkuu precisely my thoughts, this's what I've thinking all along in this year's elections. Hata kama hakutakuwa na maendeleo ki hivyo if we displace ccm from Ikulu then tutakuwa tumewaonyesha kuwa they don't own the country, there's no seal that says ' ccm only '
Na hata kama upinzani hawataleta maendeleo makubwa sana (which might be the case due to the damage that's been done) at least tutapevuka kiasi kisiasa kwa kuona kazi za wengine, na hawa walojimilikisha nchi watajifunza kufanya kazi cos wamedekezwa sana.
 
yan ccm ni heri ya mchawi au shetwan hakiyamama. kuna mwenzetu hapo juu katoa mfano wa daraja la mto wami. daraja lilijengwa na mkoloni. sasa kwa barabara, na daraja, muhimu kama ile, inayounganisha mikoa ya tanga, kilimanjaro, arusha, nchi kadhaa za kaskazini mwa Tanzania kama kenya uganda, somalia, ethiopia nk na mikoa ya Kusini mwa Tanzania, hususani Dar esSalaam, cha ajabu ccm, kwa miaka 50, imeshindwa kupanua lile daraja japo magar yapishane!!! mvua zikinya maji yanajaa hadi juu ya daraja na wasafiri huwa wanaliwa mamba hapo hapo darajani gari likiziwa na maji linatumbukia mtoni!!!! yaan daraja utafikiri ni kivutio cha kizaman kimeachwa makusudi kuelekea kwenye mbuga za kitalii!!!!!

....boy or boy!, I thought I was mad at CCM!, lakini wewe mkuu umenizidi nguvu...lol!

But on a serious note, ona sasa kama hili la daraja na mengine mengi tu ambayo yamekuwa overlooked. Wanaweza kuwa hawaoni lakini hata kusikia basi hawasikii?!. Yaani with our snail's pace economy, the country is like at stagnant point kimaendeleo all together. Yaani kana kwamba tumeambiwa FREEZE!, kuna mkuu humu alisema ukawa wenyewe hawajasema hata agenda yao iko vipi lakini kama umenote kinachosikika zaidi ni Lowasa's crowd VS Magufuli's crowd as opposed to sera zao which is most important in any election but people are so fed up with agendas, seras call it whatever you want, to the point that all they want is upinzani and not ccm period!
I wish ccm could step aside and regroup!
 
Mkuu precisely my thoughts, this's what I've thinking all along in this year's elections. Hata kama hakutakuwa na maendeleo ki hivyo if we displace ccm from Ikulu then tutakuwa tumewaonyesha kuwa they don't own the country, there's no seal that says ' ccm only '
Na hata kama upinzani hawataleta maendeleo makubwa sana (which might be the case due to the damage that's been done) at least tutapevuka kiasi kisiasa kwa kuona kazi za wengine, na hawa walojimilikisha nchi watajifunza kufanya kazi cos wamedekezwa sana.
kaka you hit the nail precisely on the head, I could nt say it better mkuu, thanks!!
 
  • Thanks
Reactions: kui
"Maendeleo siku zote ni nia sio hatua,"unaweza kuwaweka hao mnaowataka lakini wasiwe na utayari wa kuleta hayo maendeleo mnayoyataka,angalia uchumi wa China,South Africa,na nchi nyingine zilivyombali sisi tuna kazi ya kuhesabu miaka ya uhuru.
 
Je, ni bora kutengeneza flyovers au kujenga BRT system kwa Dar?
Manake siyo mnaandika tu upuuzi.

Flyover ni permanebt solution for all users but BRT ni very temporary and not friendly user for all. Kwanza ajali zitakuwa za kumwaga kwa jinsi barabara zetu zilivyo nyembamba. Foleni za magari zitakuwa palepale kwani kusubiri mabasi ya mradi kupita itakuwa hapa na pale.
 
Flyovers siyo permanent solution at all, if it's a solution anyhow. Flyovers faida yake kubwa ni kutumia land size ndogo kupitisha magari mengi.....
Mji wa Dar unahitaji public transportation ya maana ili kupunguza idadi ya magari yanayoingia mjini. Siyo unajisemea tu, hii miradi yote ya BRT na Thika highway siyo fedha za serikali, ni banks ndiyo zimejenga hii miradi, na ni benki za maendeleo, siyo private banks.
Kwa hiyo kuna actuaristic inputs before persuing them. The cost is almost the same, kwa hiyo siyo kipimo cha uwezo wa kifedha sema tumezidi ushamba.
 
Nasikia (unconfirmed) kuwa mabasi ya BRT yana mfumo wa kutambuliwa na kuruhusiwa kupita kweye intersection bila kusababisha msongamano kwenye makutano ya barabara. Hilo safi lakini unafikiri huu mradi wa BRT utadumu kwa miaka mingapi kabla ya kubomolewa/kubadilishwa?
Unazungumziajebreakdown za jiji la Dsm ikitokea katika mfumo ule wa BRT? Unazungumziajeufinyu wa barabara zile za BRT? Unasemaje mpaka hapo?

Kwenye intersection dereva anashuka analibeba analivusha then mambo yanaendelea,

Kuna watu hichi chama sijui kimewaloga eti kabisa mtu anasimama anasema haoni umuhimu wa flyover sehemu kama tazara, ubungo, mwenge.
Kuna watu jamani inabidi tufanye maombi ya kufunga kwa ajili yao, this is serious problem
 
Nime tumbukia hapa kibahati.Nili kuwa natafuta hoja za miundombinu na nimeupata hili. safi sana na wachangia wamenena vilivyo kuwa maendeleo ni nia na si hatua.Safi kabisa.

Kuongezea ningependa kusema hili..haya miradi sio ya barabara tu bali ni ya kawi,maji,tovuti n.k yaani miundo mbinu kwa jumla. Kwa mtazamo wangu mtoa mada ange jihusisha na swali hili:je,katika miji mikubwa ya TZ anaona miradi ipi inayoweza kutoa foleni ili angalau janga la foleni n.k litolewe na kujipima na labda Tokyo au Singapore.
 
Bila aibu pombe maufunguo anajivunia vibarabara uchwala vya Tanzania,sijui anafikili hatujatembea wengine tumetembea kuliko hata Mwenyekiti wake
 
Back
Top Bottom