Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
Nime miss kitimoto ya Moshi!! Tulikuwa tunaenda kula Kiboroloni sijui hadi ipo au walihamisha mahakama ya nguruwe?
Kama uko Moshi kwa sasa hebu niambie na pale Majengo kwa Kipanga bado wanachoma nyama za mbuzi?
Zipo ndugu yangu tena zimejaa tele. Pale majengo sec. nimesoma na mahondaw hapo kwa kipanga sijajua kama yupo maana sijapitaga kule tena.
Kiboriloni bado zipo za kutosha nina jua mitaa na mengine inaongezeka.
Bado upo Buswelu nakumbuka pale kwenye shule ya ibanda nilitakwa kulipishwa hela kisa nilitembea na mtoto wa shule ikanibidi nikimbie na field sikumaliza. Ila watoto ya kanda ya ziwa si maharage ya mbeya ni maini ya ng'ombe
Nitakuja aisehhh tena mwanza