Maajabu ya Mji wa Moshi

Maajabu ya Mji wa Moshi

Nimepata kile nilichokuwa nakitafuta. Mmejaa wenyewe kwenye frame.

Uzi umefungwa rasmi!!
 
Mdau kwenu patakuwa kakonko. Unataka kuifananisha moshi na kakonko poor you

nikunyweshe bia chasaka wewe sio sherehe zenu mpaka bia unanunua.
kuna kiti moto hapa unaweza ukaacha kufunga kisa utamu wa kitu moto yaani tamu zaidi ya papuchi.

Kuna waterfalls sidhani kama uko kwenu zipo ata jiji la bashite hamna ata water fountain.

kufika mpaka kijijini kwetu kuna lami mpaka mlangoni sisi hatujuagi tope.

kuna pombe au kitochi tamu kama papuchi unaweza ukasahau kurudi kwenu.

kuna watoto wazuri huku weupe sio wa mkorogo ila miguu mibaya(samahani dada yangu)

ntaendelea...
 
Sijui Kama Umeona Mawenzi Wanamaliza Jengo Lao Kubwa, Hospitali Kubwa Ya Kanda.
Kidogo KCMC Watapumzika

Ata Jengo Jipya La NSSF Hujaliona

Lami Mpya Mbuyuni

Haice Za KCMC Haziishi Tena Sido Bali Getifonga

Makazi Mapya na Ya Maana Bonite, Ushirika Wa Neema, Shah Tours na KB tofauti na Zamani Mijengo Ya Maana Ilikuwa Shanty

Fresh Coach Anamaliza Gorofa Hapo Kati

Manispaa Wakitupa Street Lights Za Kutosha Moshi Ni Jiji Tena Kubwa Sana.
 
Acha uongo bana.. Hata Jana Tu nilikua Moshi, kwanza wewe mkoa Wako Ni upi?
 
Msiwe baadhi ya watu wanaohesabu maendeleo kwa magorofa mjini

Maendeleo ni makazi, uzalishaji wa fedha na mazao na ubora wa maisha

Ni ngumu sana mtu wa Dar kusurvive Moshi. Unahitaji akili nyingi hapa mjini hela haziji kidalali dalali lazima uwe creative.

Bakini Dar mchomwe na jua

Moshi
 
Kafika msibani hajatembea.. Ushamba acha bhana... Omba utembezwe.. Au unataka tuweke bahari ndo utajua pameendelea
Hata msibani kwenyewe hajafika maana kwa miaka 20 iliyopita na sasa lazima angeiona tofauti huyo labda kahadithiwa tuu tena na mlevi aliekua anaota ndoto mchana nae kaona ni vizuri ajifanye nae keshafika moshi
 
Moshi noma zama ndani ujionee yani kila mahali ukuta/fensi geti kubwa mjengo wa maana migomba ya kutosha kijani kibichi usipime lami mpaka chooni jombaa ni kwikwi ule mkoa acha kabisa
 
Back
Top Bottom