Maajabu ya Mji wa Moshi

Maajabu ya Mji wa Moshi

Naona Wachagga wanamalizia stress zao kwenye huu uzi. Wamepata mahali pa kupumulia kana kwamba wamebanwa kiaina fulani hivi.
Si kweli hapa jf ikipita mwezi mmoja bila kubandikwa uzi wa wachaga hapanogi sababu comment mbali mbali zinawamotivate watu kuendeleza majumbani kwao tukubali tu yaishe awa jamaa walishatangulia ndio wana run Tanzania wako juu aisee na nnakuambia huu uzi utapata wachangiaji zitafika page hata 800
 
Shida ya wachaga ushamba uliokithiri!!

Yuko radhi kujenga hotel ya kisasa Mbeya mjini lkn sio Moshi mjini!
 
Moshi haipo moshi ipo kila mahali. Ingia sanya.machame.kibosho.uru.old moshi.kirua.marangu.mamba.mwika.mashati.mkuu hadi tarakea. Kila kitu mwaa. Majengo.maisha swaafi.sio miji imejengeka kilomita 1 tu unakutana na udogo.

Tafuta nyumba za nyasi na udongo ndo ufananishe na kwenu.

Tulia. Njoo nikujazie mafuta utembee moshi uone.
Barabara.maji umeme kila mahali.

We vipi?
Mtoa mada hajasema habari ya huko migombani ye kasema moshi mjini
 
Zipo ndugu yangu tena zimejaa tele. Pale majengo sec. nimesoma na mahondaw hapo kwa kipanga sijajua kama yupo maana sijapitaga kule tena.

Kiboriloni bado zipo za kutosha nina jua mitaa na mengine inaongezeka.

Bado upo Buswelu nakumbuka pale kwenye shule ya ibanda nilitakwa kulipishwa hela kisa nilitembea na mtoto wa shule ikanibidi nikimbie na field sikumaliza. Ila watoto ya kanda ya ziwa si maharage ya mbeya ni maini ya ng'ombe

Nitakuja aisehhh tena mwanza

Kibororoni -toroka uje ni noumaaa

cc Smart911
 
Shikamoo mwalimu!!
 
Back
Top Bottom