Maajabu ya Mji wa Moshi

Wewe jamaa ni muongo saaaana moshi INA maendleo saana wewe sijui umetokea wapi wewe
 

Tofauti kubwa ya mji wa Moshi na miji mingine ya Tanzania ni kwamba watu wengi wana shughuli/kazi/biashara mjini lakini hawaishi mjini! Hivyo ma hekalu na ma villas kibao yako kati ya migomba na kahawa - huko nje ya mji/vijijini!
 
Kwani ulikuwa hajui wengi wanaofanya fujo kwenye mitandao ni Wachagga. Wakimaliza kuchomelea magrill na kufunga madirisha ya aluminium wanaanza kunywa viroba na kusambaza upuuzi kwenye mitandao.
Tatizo wanajiona wamestarabika kuliko makabila mengine. Wakumbuke maendeleo waliyopata mpaka sasa yametokana na upendeleo ambao hata wenyewe wanautambua sasa.
Waache ubinafsi tusonge mbele sasa la sivyo wataachwa nyuma na majivuno yasiyo natija kwa jamii ya leo.
 
Ndio kwetu mkuu PNC 1. Mitaa ya ushirika wa neema. Ni zaidi ya sinza kila baada ya nyumba bar na zote zinajaa....
kumbe ndio home safi saaana mimi huko sio mwenyeji ila natembeaga tu kuanzia pasua bomambuzi mbuyuni hadi majengo kwa mtei mabogini laini polisi kule kwa jani(sehemu tulikokuwa tunakutana watoto kipindi cha sikukuu) karibu na kindoroko matindigani njoro hadi shant town bila kusahau kumbi zetu za liberty kwa wakorofi na peace park ila mabogini kuna mtaa wa Barcelona AISEE MOSHI PAMETULIA SANA JAPO SI MWENYEJI WA HUKO
 
MJi wenyewe umeshaisha sasa hayo mabadiliko watayafanyia hewani.
Labda kidogo ile tower mpya uwanja wa redcross zamani ila kwengine ni vile vile tuu toka tunasoma miaka ya 90
 
Kama mtoa mada yupo msibani,atembelee hapo KDC aone hiyo State lodge na aulize ilijengwa mwaka gani....hapo alikuwa anakaa Mangi Mkuu.
Kulikuwa na chagga council since long kitambo na pia chagga day na bendera yetu wenyewe pia gazeti letu wenyewe kwa lugha yetu ya kichagga na liliitwa KOMKYA.
 
teh teh mleta mada watake radhi wakazi wa moshi. moshi imebadilika sana sasa wewe umefika jana usiku ukazunguka hapo kiborlon na apo kwa alphonce fanya utafiti tena.
 
Acha wivu na husda,utakonda na kupata pressure yakujitakia.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
hihihiiiiiii,we jamaa ni murongo sana aisee!!!
 
Hiyo miaka uliyokaa bila kufika moshi na wenye mji wao wanafanya hivyo hivyo,
japo kuna maendeleo kidogo tofauti na miaka ya nyuma;
 
Mhhhh. Moshi hakuna mji pale .mji unaokuwa kwa kasi ni Bomang'ombe
Taasisi za kifedha ni crdb na nmb tu ndiyo zinazopatikana bomang'ombe hata bank ya posta haipo yani mzunguko wa pesa ni mgumu huwezi linganisha na moshi
 
Mleta hoja nahisi hujafika Moshi uansemea tu kwa mihemko yako. Miaka 20 mji uko vilevile? kweli nahisi kuna kitu unatumia na kimeshapigwa marufuku. mji sasa hivi unakimbilia kuwa jiji huo. Eti watu wanaenda dec kumbe hamna kitu. Panda milimani kwao uone mahekalu, umeme kila kaya, lami, mabomba ya maji, mito ya maji! Ni ukweni acha niseme ukweli kwani nimepapenda sana tofauti na kwetu Iringa.
 
Huo ni ukweli ulio wazi kbs, nilisoma Moshi around 2000, na kwa ss natenbelea saana moshi, yaani pale moshi town mabadiliko ni madogo sana, ukiacha yale magorofa yanayomea karibu na mahakama pale,

otherwise moshi iko vilevile
Hebu tupe mkoa wako uliotoka mkuu tupate kukusifia kwa hatua mlizopiga.
 
Sure huko moshi vumbi jekundu Na matope sana bati zote kutu hamna kitu hapo povu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…