Maajabu ya mchepuko wangu

Hizi insta zinaaribu sana hasa maisha Ya Insta Ya kina hamisamobeto
 
hao ndio wanasemaga hivyo hivyo,ngoja wazae sasa,vituko hadi mkeo halali atasanuka,sio wa kuwaendekeza hao,ni ving'ang'anizi balaa,usijaribu kabisa mkuu
 
Mm nakushauri hii story yako mshirikishe mkewako atakusaidia cha kufanya
 
Kuharibu ndoa yako ni rahisi lakin kuja kuitengeneza tena ni kazi sana
So be careful the way you trade in those affairs
 
Usije kumpa mimba atakusumbua sana na kama kumgegeda endelea hila usipige kavu maana atakutegeshea akiona huelekei matakwa yake
 
Angalia mipango yako ni kuwa na watoto wangapi?? Kama una nafasi ya kutaka mtoto mwingine....zalisha huyo! Acha uoga! Ila tunza kweli mtoto....usitujazie panya road mtaani!!!
 
Maisha ya mchepuko ni hatari sana kwa ndo hasa kipindi hiki. Jiepushe na ombi lake la kuzaa naye. Itakusumbua maisha yako yote.

Umri wake bado ni mdogo sana kwa nini asitulie apate mme wake?

Ogopa sana ombi lake.
 
hivi kila mtu akimng'ang'ania wife wake,wale ma dada single watakuwa na nani?si unajua kuwa tz wanaume ni wachache kuliko wanawake?mwache afanye yake,😛😛😛

Umetisha mdau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…