Maajabu ya mchepuko wangu

Mshirikishe mkeo juu ya hilo, nadhani majibu sahihi yatatoka kutoka kwake!
 
Tumia sana akili yako kufukiria mbele usiharibu maisha yako kwakuzidiwa maarifa na mwanamke...
 
Hii tabia inashamiri sana, mnatuzalia watoto wasio na wazazi wa kuwalea kwenye maadili (familia). Kidogo kidogo tunakuwa kama mataifa mengi ya kimagharibi, watoto wanalelewa na mzazi mmoja.

Eti naye anajiita mwanaume.?? Mwanaume gani anayetegemea ushauri wa watu kufanya jambo yn lenyewe ni jinga kiasi kwamba haliwez pima effect za akitakacho...daaah wanaume wa siku hizi wacha tu wageuke mashoga ..eti kaniomba mimba...
Seriously. ......mshahara wa dhambi n mauti hizo dhambi zitawatafuna..ht km c leo kesho..mtoa mada ni .......
Utanisamehe
 
Lazima useme hivyo ila tambua afadhali mimi nimesema KULIKO YULE AMBAYE HASEME NA HAYA YAPO NA HATA KWAKWO YAPO SIKU UKIGUNDUA NA MWENZIO AMESHAFANYA UTALIA NA ULIMI
 
naomba namba yake tafadhali kama hautojali.
 
Mshirikishe mkeo,nini unakosa kwake mpaka uwe na mchepuko,?
Anzia hapo utapata ushauri na majibu mengi kuliko idadi ya maswali yako.
 
Nadhani mkeo ni member wa JF ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
uwoga = umaskini----- yaani ushakuwa maskini automatical ,,.
 
Tulia na mkeo. Michepuko sio dili. Madhara yake ni kuja kutia doa kwenye familia yako akakuona msaliti mpaka umefikia hatua ya kuwa na mtoto.
Achana naye nakuambia kwa mara nyingine huo ni mtego na ukiingia ndoa yako itakosa amani na furaha.
 
Usijiongezee majukumu yasiyo na msingi wewe....Hebu linda heshima ya mkeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ