Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
Usithubutu mkuu hapa mwenzio naishi kwa mashaka.
Kuna mwanamke nilikuwa naye zamani kabla sijaoa ila tukapoteana for a certain time yeye alienda Zanzibar kutafuta maisha mimi nikabaki hapa hapa naendelea kustruggle . Milima haikutani ila binadamu tunakutana mwaka jana mwezi wa pili tulikutana so tukakumbushia mchezo ila akatoa ombi kama hilo akasema tayari nina kazi yangu so nahitaji mtoto na wewe ndio nilikuwa nategemea unipatie huyo mtoto.Nikamwambia tayari nina ndoa sitoweza kuwahudumia familia mbili though uwezo huo ninao akadai yeye anachohitaji ni mimba tu ila mtoto na yeye mwenyewe watajilea coz hana shida ya pesa.Nikaingia mkenge kama Nyumbu nikamkubalia sasa hivi bado hajajifungua ila mimba ina miezi 7 napata tabu sana mara anataka niende nikalale kwake ananiomba niweke zamu kama vile nimeoa wake wawili. So mpaka niogopa kuhusu mke wangu akijua hili nitaweka wapi sura yangu.
Nakuomba mkuu usikubali kufanya huo uamuzi utaishi katika wakati mgumu sana.
hivi kila mtu akimng'ang'ania wife wake,wale ma dada single watakuwa na nani?si unajua kuwa tz wanaume ni wachache kuliko wanawake?mwache afanye yake,😛😛😛hatari sana wandugu. Dada zetu (Single) wamejipanga kutuharibia ndoa zetu asee
Pole sana, umekiri kuwa wewe ni nyumbu and you deserve to be one.Usithubutu mkuu hapa mwenzio naishi kwa mashaka.
Kuna mwanamke nilikuwa naye zamani kabla sijaoa ila tukapoteana for a certain time yeye alienda Zanzibar kutafuta maisha mimi nikabaki hapa hapa naendelea kustruggle . Milima haikutani ila binadamu tunakutana mwaka jana mwezi wa pili tulikutana so tukakumbushia mchezo ila akatoa ombi kama hilo akasema tayari nina kazi yangu so nahitaji mtoto na wewe ndio nilikuwa nategemea unipatie huyo mtoto.Nikamwambia tayari nina ndoa sitoweza kuwahudumia familia mbili though uwezo huo ninao akadai yeye anachohitaji ni mimba tu ila mtoto na yeye mwenyewe watajilea coz hana shida ya pesa.Nikaingia mkenge kama Nyumbu nikamkubalia sasa hivi bado hajajifungua ila mimba ina miezi 7 napata tabu sana mara anataka niende nikalale kwake ananiomba niweke zamu kama vile nimeoa wake wawili. So mpaka niogopa kuhusu mke wangu akijua hili nitaweka wapi sura yangu.
Nakuomba mkuu usikubali kufanya huo uamuzi utaishi katika wakati mgumu sana.
ndo wanaume zetu hawa inabidi tu tupite tukajipooze na ndovu.Hivi siku hizi michepuko imehalalishwa? Yaani mchepuko sio tatizo, kinachokusumbua wewe ni hilo ombi LA ujauzito tu? Hiki kizazi chetu kinachangamoto sana.
ni wachache kwa tofauti gani na wanawake? na umri upi ulio chini zaidi na upi ulio juu? acheni kuhalalisha ufirauni.hivi kila mtu akimng'ang'ania wife wake,wale ma dada single watakuwa na nani?si unajua kuwa tz wanaume ni wachache kuliko wanawake?mwache afanye yake,😛😛😛
Asante sana kiongoziUsithubutu, anataka akuweke kati kisheria.
We utakuwa mke wa mtu ila vumilia ndo TULIVYO WANAUMEYaani mwanaume zuzuzima huharibu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
Asante SANA V ushauri wako mzuriAmeona hyo ndo njia sahih ya kukuweka kwny himaya yake,,
Ya nani unatakaTUSAIDIE JAPO PICHA MKUU.