Maajabu ya Kisiwa cha Bermuda

Hapana mkubwa tunaelekezana,mimi mwenyewe nliona nlivyopanda pale uzinduzi wa bombardier japo sikuruka nayo ila nimepanda
Unamuumbua mwenzako[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu hii story story cikuwah kuisikia.
Mshana Jr tupe ABC mkuu
 
Kuna mchungaji alikuwa anasema anatoa hadi majini ya Bermuda.......duuu nikakumbukaa jf
 
Kuna watoto wakali sana pale, ngoja mvua iishe niende tcra kuomba ruhusa/kibali cha kuwawekea hii video na hizi jpeg

weka tu hizo video na picha nani kakwambia mpaka kibali ? kama ziko sawa lete tu tuangalie uzuri wa visiwa vya Bermuda
 
Jini kutoka Bermuda achana nalo kabisa kule yapo org haswa
 
Ndege gani hiyo unayofungua dirisha?
 
ndo hiyo inaitwa bermunda triangle.. ni uzushi tu.. wazungu wameuza vitabu, wamecheza muvi nk. they make a lot of money out of that myth.. si kweli.. ni kama hadithi za nguva (samaki mtu)
Kuna mshikaji mmoja anahadithia story yake kwenye kipindi cha sitasahau radio free Africa kila jpili,ss jpili ya juzi aliongelea story ya hapo Bermuda triangle,kwa maelezo yake ambayo ameyapata huko gamboshi pale Bermuda ndio kuna mlango wa kuzimu na mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…