Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,457
- 1,368
Kaka wewe ni lawyer? Nimependa hii comment yako.Big Up kwani nimekosa kitufe cha LIKE kwani ningekugongea hata 100!Ukisema Kaskazini lazima umalizie ni kaskazini ya wapi. Maana hata Pwani ni Kaskazini ya Lindi, Morogoro ni kaskazini ya Iringa nk. Mie zamani nilidhani Kaskazini ni juu nikawa nashangaa mto Nile unaelekea kaskazini badala ya kusini kumbe kila upande kuna juu na chini. Vivyo hivyo kila mahali kuna kaskazini, Mashariki,Magaharibi na Kusini yake. Tafadhali usiseme tu unatoka Kaskazini je ni kaskazini ya wapi? Maana pale unapopaita kaskazini ni kusini mwa eneo lingine na ni mahariki mwa eneo lingine nk.
Hata wewe Ustadhi unafuga mbwa kweli alsasunn imeingiliwa. kazi ya kuzamia pilau za hitma umeacha?
Ukombozi wa Tanganyika ulianzia kaskazini(Japhet Kirilo)
Na ukombozi wa Tanzania kwa mara ya pili utaanzia kaskazini.
Anayebisha aseme.
Taratiiiibu mmeanza kuvua ile Ngoz ya kondoo mliyojistiri,Kumbe ile Nadharia ya Joshua Nassari ina maana kweli,Sasa Nimeelewa Kwann Zitto amekuwa Zitto kwenu!!!! Haina haja ya kutuzuga kuanzisha majimbo,nyie tangazen Taifa lenu la Kaskazin tuachane na ule ujambaz,utapeli,wizi na Ufisad wa kutupwa,Hata Gray Mgonga,Lowassa,Mramba na Daniel Yona wanatoka kusin mwa jumuia ya Afrika Mashariki!!
Nipo UK, malkia anatoka kusini, mji mkuu London uko kusini, maendeleo ya nchi yako zaidi kusini ..... LOL!!!!!
jamani mimi si mbaguzi wala mchochezi ila nilitaka kuwafikirisha watu zaidi kwa sababu nimechoshwa na nyuzi zisizokuwa za kufikirisha akili.
kwa ambao wamenielewa vibaya nawaomba msamaha.
kwa walionielewa nawapongeza.
kwa ambao hawajaisoma naomba waisome na kujipa muda wa kuitafakari ili wasinihukumu vibaya,ukinisoma kwa umakini utagundua siri iliyopo.
hata tukija kwenye siasa pamoja na kuwa halikuwa lengo langu rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania anatoka kaskazini mwa mkoa wa pwani.
siku nyingine nitawaeleza kwa undani hiyo siri kwa nia nzuri tu.
jamani nasisitiza msamaha kwa wale waliofikiria kwa upande mmoja tu kwa sababu ndio uelewa wao na hakuna jinsi ya kuwabadilisha wafikiri pande zote.
wamakonde wapo kaskazin ya msumbiji,,,,,na mie nipo kasikazini ya chato,,Duh! Mkuu Maskini Jeuri,
Busara zako ndizo zitakazowaamsha wengi....bila shaka unachotaka kutuambia ni kwamba, Ringo asimwage mchele penye kuku wengi....akifanya hivyo, hata wale Wamakonde wa Tandahimba wanaoisubiria CHADEMA kwa hamu nao watagundua kwamba CHADEMA ni ya kaskazini...!!!! hawa, hawapaswi kushikwa mkono, kwamba waingie tu kichwa kichwa na hadi watakapokuja kushituka TOO LATE!!
Ukisema Kaskazini lazima umalizie ni kaskazini ya wapi. Maana hata Pwani ni Kaskazini ya Lindi, Morogoro ni kaskazini ya Iringa nk. Mie zamani nilidhani Kaskazini ni juu nikawa nashangaa mto Nile unaelekea kaskazini badala ya kusini kumbe kila upande kuna juu na chini. Vivyo hivyo kila mahali kuna kaskazini, Mashariki,Magaharibi na Kusini yake. Tafadhali usiseme tu unatoka Kaskazini je ni kaskazini ya wapi? Maana pale unapopaita kaskazini ni kusini mwa eneo lingine na ni mahariki mwa eneo lingine nk.
Nipo UK, malkia anatoka kusini, mji mkuu London uko kusini, maendeleo ya nchi yako zaidi kusini ..... LOL!!!!!
Katibu wa chama anatoka kaskazini,
Mwenyekiti wa chama anatoka kaskazini
Muasisi anatoka kaskazini
asilimia kubwa ya wabunge wa kuchaguliwa wanatoka kaskazini
Kweli maajabu ya kaskazini
Atakayepinga hili akapimwe akili.
Fuatilieni tangu kuumbwa kwa ulimwengu kaskazini ndiyo iliyoinuliwa.wakati ibrahim akiachana na ndugu yake alimwambia achague kaskazini au kusini angalia ibrahim alielekea wapi?
Nitatoa mifano ya kaskazini menginemtatafuta wenyewe.
1.duniani maendeleo yalianzia kaskazini.
2.afrika maendeleo yalianzia kaskazini.
3.tanzania maendeleo yalianzia kaskazini.
4.mkoa wangu maendeleo yalianzia kaskazini
5.wilaya yangu maendeleo ya lianzia kaslkazini.
6.kijiji changu maendeleo yalianzia kaskazini.
7.ofisi ya bosi wangu ipo kaskazini.
8.nyumbani kwangu chumba changu kipo kaskazini.
naomba hapo ulipo fuatilia wewe upo wapi?na maendeleo yako yanatokea wapi?