Nmepeleka gari yangu kwa fundi...kipimo chake kunitoza malipo ni thamamni ya gari yangu na muonekano wangu.watu wanapenda hela bila kufanya kazi.
- Ni jiji pekee ambalo mtu hujenga kwanza na kuomba kibali baadaye = Ujenzi holela
- Ni jiji Pekee ambalo halina building codes katika ya jiji (city center)
- NI jiji Pekee ambalo mtu hujenga jengo la hata orofa 18 bila kujenga maegesho ya magari
- Ni jiji pekee ambalo mtu akiwa na matofali ya kutosha na viezekeo basi hujenga ghorofa popote -cheki pale Kariakoo
- Ni jiji pekee ambalo 80% ya makazi yake ni holela (unplanned)
- Ni jiji pekee ambalo ukiwa unatoka katika ya mji umbali hata wa km 10 bado kuna foleni ya kutisha kutoka nje ya jiji kimara, mbezi, tegeta, mbagala)
- Ni jiji pekee ambalo 70% ya maeneo yake yananuka kinyesi
- Ni jiji ambalo huwa na mito mingi sana kwa muda mfupi wakati wa mvua (kutiririsha choo)
- Ni jiji pekee ambalo weekend huwa na foleni kubwa katika ya mji- miji mingi huwa hakuna foleni watu wanaenda mashambani/ picnic etc
- Ni jiji pekee ambalo lina nyumba nyingi za wageni kuliko idadi ya wageni wanaoingia jijini- Guest houses nyingi kuliko makanisa na misikiti
- Ni jiji pekee ambalo watu wake wengi hawajitambui na hawajui haki zao
- Ni jiji pekee Duniani ambalo 95% ya magari ya kuzoa taka yenyewe tu ni takataka
- NI jiji pekee ambalo mtu anaweza kuanzisha baa, ukumbi hata katikati ya makazi ya watu bila shida
- NI jiji Pekee ambalo mtu anaweza akaamua kufunga barabara na maisha yakaendelea tu
- Ni jiji pekee ambalo wakazi wake wengi hawajawahi kumiliki chombo cha moto zaidi ya pasi
- .....
- ......
Si kweli kuwa ni mtaalamu, bali akili inayotumika hapa ni kuwa, wajenzi wasomi hawapewi kujenga maghorofa yetu ila wale mafundi wetu wa kimara, G/Mboto,ndio wajenzi wa majengo haya, wao ununua kipande cha ujenzi wa jengo kwa kulipwa na wenye majengo bei ndogo. Ila, ili jengo lisimame lazima awepo kontrakta mkuu na bango lake. Sasa basi Linza ndiye rahisi kununuliwa na wenye majengo kwa kusimamisha hilo bango unaloliona. Floor moja analipwa Tsh. 1,500,000/=. Lakini wajenzi wakuu ni hao mafundi wetu wa mitaani. KARABAGAO
JIJI PEKEE DUNIANI HUGEUKA BAHARI PINDI MVUA ZIKINYESHA!!:eyebrows: