Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Naingia kwenye profile yangu nakutana na lawyer amegoma kushangilia leo, Upande mwingine Speaker nae kaacha kutingisha kichwa, mbaya zaidi kwa Boflo, Zidane leo kaanguka yeye....lol
Najaribu kuitingisha PC yangu sasa labda Klorokwini ataendelea kushangilia.....!
sobhuza je??Invisible nimesikia anaumwa red eyes, hawezi kufinyafinya macho.
Ba! Bwana weewe...
Naingia kwenye profile yangu nakutana na lawyer amegoma kushangilia leo, Upande mwingine Speaker nae kaacha kutingisha kichwa, mbaya zaidi kwa Boflo, Zidane leo kaanguka yeye....lol
Najaribu kuitingisha PC yangu sasa labda Klorokwini ataendelea kushangilia.....!
Mambo Charminggirl? Usinune mtoto mcheshi, haiendani na ulivyo.mh,leo cjasalimiwa mie! nimenuna...
mh,leo cjasalimiwa mie! nimenuna...
By sobhuza
https://www.jamiiforums.com/members/sobhuza.html
Invisible nimesikia anaumwa red eyes, hawezi kufinyafinya macho.
nani kapiga tobo? nani kapiga kanzu?