AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,537
- 4,517
Kipaji cha kutoa ya moyoni sio kama wewe unaona hakuna jipya halafu bado unataka kutetea ujinga..kiukweli alivyotegemea jamaa hadi mimi nilitegemea hivyo kuimba tumeshazoea Bongo star search tangu 2006 tunaangalia kuimba tu hadi EAGT tena hiyo michosho sasawewe kabla ya kulaumu wengine umeonyesha kipaji gani ambacho kina level za american got tallents?
Ishu iko hivi mkuu: Wale unaowaona kwenye American Got Talent wengi wao wame-dedicate maisha yao kabisa na wameanza kupalilia hizo talents zao tangu wakiwa wadogo. Mtoto ameonwa ana passion fulani tangu akiwa mtoto na wazazi wamejitolea kwa hali na mali kukiendeleza kipaji cha mtoto wao miaka na miaka. Na wenzetu wale hawachagui aina ya kipaji. Kuimba, sarakasi, ala za muziki, mazingaombwe, ujongefu wa viungo, kujipinda pinda, kuchezea mpira, juggling na mambo mengine ya ajabu ajabu ambayo huku kwetu mtoto akionyesha interest nayo atakula kichapo cha kufa mtu kwa sababu hayana future. Ndiyo maana kwenye show yao ile utaona vipaji vya kila aina; na kwa ustadi wa hali ya juu sana.Show hii yaoneshwa CLOUDS na AZAM...lakini kawaida sanaa...
Nilitegemea makubwa sana na hii TV SHOW ambayo tumeitohoa kwa wenzetu huko kama America' got talent...
Nikategemea tutaona vipaji vya/vyenye maajabu...kama ambavyo tunaona maajabu tofauti ambayo vipaji vyake havipati UWANJA WA KUONEKANA KWENYE TV SHOWS KAMA BONGO STAR SEARCH...AU DANCE MIAMIA CHALLENGES...Kwa sababu vipaji hivyo sio vya huko...
Badala yake kwenye EAGT tunaona vipaji vilivyotawala ni SINGING, UIGIZAJI and DANCING(ambayo kwa sasa hivi ACROBATIC imo ndani yake).
Mwanzoni nilitegemea kuwa hapa ndipo WALE WANA MAZINGAOMBWE na WACHAWI kupiga pesa...wazungu wanaita MAGICS...
Hakuna kabisa jipya...TUMECHOKA KILA MAHALI KUIMBA IMBA KUCHEZA CHEZA SEREKASI...
NOTHING NEW...TUNAHITAJI MORE THAN NORMAL TALENTS...
THOUGH Mimi sijatoa hela yangu kumchangia KUSAGA na wenzake kuyaandaa mashindano...lakini I THINK HATA WENYEWE WANAONA HELA YAO INAENDA KWA KAWAIDA SANA...
Nyie maoni yenu ni gani...
Mwanzo unaonesha yanayokuja...lets take as an example today...show nzima ni singing dancing...Mkuu hebu tulia, ndio kwanza tunaanza
ukosoaji ni kitu rais sana.Show hii yaoneshwa CLOUDS na AZAM...lakini kawaida sanaa...