Maajabu ya East Africa Got Talent

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
Show hii yaoneshwa CLOUDS na AZAM...lakini kawaida sanaa...

Nilitegemea makubwa sana na hii TV SHOW ambayo tumeitohoa kwa wenzetu huko kama America' got talent...

Nikategemea tutaona vipaji vya/vyenye maajabu...kama ambavyo tunaona maajabu tofauti ambayo vipaji vyake havipati UWANJA WA KUONEKANA KWENYE TV SHOWS KAMA BONGO STAR SEARCH...AU DANCE MIAMIA CHALLENGES...Kwa sababu vipaji hivyo sio vya huko...

Badala yake kwenye EAGT tunaona vipaji vilivyotawala ni SINGING, UIGIZAJI and DANCING(ambayo kwa sasa hivi ACROBATIC imo ndani yake).

Mwanzoni nilitegemea kuwa hapa ndipo WALE WANA MAZINGAOMBWE na WACHAWI kupiga pesa...wazungu wanaita MAGICS...

Hakuna kabisa jipya...TUMECHOKA KILA MAHALI KUIMBA IMBA KUCHEZA CHEZA SEREKASI...

NOTHING NEW...TUNAHITAJI MORE THAN NORMAL TALENTS...

THOUGH Mimi sijatoa hela yangu kumchangia KUSAGA na wenzake kuyaandaa mashindano...lakini I THINK HATA WENYEWE WANAONA HELA YAO INAENDA KWA KAWAIDA SANA...

Nyie maoni yenu ni gani...
 
Hii Got Talent Franchise inayomilikiwa na Simon Cowell.., model yake sio kukuza vipaji per se..., bali ni money making business.., ingawa wachache akiwaona wanafaa anaweza kuwachukua na kuwapa contract hence more money..,

Waliamua kuita talent na sio kama vipindi vingine x factor, n.k. ili kuwe na pool kubwa la watu wengi kuingia thus mara nyingine sio tu kuona vipaji bali watu wanafurahia jinsi watu wasivyo na vipaji..

Kwahio mkuu hii above all else ni reality show ambayo ni money making, sidhani kama Azam au Clouds wanaimiliki bali ni wadau tu.., na mwisho wa siku haupangiwi kipaji yoyote yule na chochote kile anaweza kwenda kama atapitishwa na majaji.., na mwisho wa siku huwa wanapiga sana pesa kwenye voting za simu
 
wewe kabla ya kulaumu wengine umeonyesha kipaji gani ambacho kina level za american got tallents?
Kipaji cha kutoa ya moyoni sio kama wewe unaona hakuna jipya halafu bado unataka kutetea ujinga..kiukweli alivyotegemea jamaa hadi mimi nilitegemea hivyo kuimba tumeshazoea Bongo star search tangu 2006 tunaangalia kuimba tu hadi EAGT tena hiyo michosho sasa
 
Show hii yaoneshwa CLOUDS na AZAM...lakini kawaida sanaa...

Nilitegemea makubwa sana na hii TV SHOW ambayo tumeitohoa kwa wenzetu huko kama America' got talent...

Nikategemea tutaona vipaji vya/vyenye maajabu...kama ambavyo tunaona maajabu tofauti ambayo vipaji vyake havipati UWANJA WA KUONEKANA KWENYE TV SHOWS KAMA BONGO STAR SEARCH...AU DANCE MIAMIA CHALLENGES...Kwa sababu vipaji hivyo sio vya huko...

Badala yake kwenye EAGT tunaona vipaji vilivyotawala ni SINGING, UIGIZAJI and DANCING(ambayo kwa sasa hivi ACROBATIC imo ndani yake).

Mwanzoni nilitegemea kuwa hapa ndipo WALE WANA MAZINGAOMBWE na WACHAWI kupiga pesa...wazungu wanaita MAGICS...

Hakuna kabisa jipya...TUMECHOKA KILA MAHALI KUIMBA IMBA KUCHEZA CHEZA SEREKASI...

NOTHING NEW...TUNAHITAJI MORE THAN NORMAL TALENTS...

THOUGH Mimi sijatoa hela yangu kumchangia KUSAGA na wenzake kuyaandaa mashindano...lakini I THINK HATA WENYEWE WANAONA HELA YAO INAENDA KWA KAWAIDA SANA...

Nyie maoni yenu ni gani...
Ishu iko hivi mkuu: Wale unaowaona kwenye American Got Talent wengi wao wame-dedicate maisha yao kabisa na wameanza kupalilia hizo talents zao tangu wakiwa wadogo. Mtoto ameonwa ana passion fulani tangu akiwa mtoto na wazazi wamejitolea kwa hali na mali kukiendeleza kipaji cha mtoto wao miaka na miaka. Na wenzetu wale hawachagui aina ya kipaji. Kuimba, sarakasi, ala za muziki, mazingaombwe, ujongefu wa viungo, kujipinda pinda, kuchezea mpira, juggling na mambo mengine ya ajabu ajabu ambayo huku kwetu mtoto akionyesha interest nayo atakula kichapo cha kufa mtu kwa sababu hayana future. Ndiyo maana kwenye show yao ile utaona vipaji vya kila aina; na kwa ustadi wa hali ya juu sana.

Sasa huku kwetu mara nyingi anasikia mashindano yanatangazwa ndiyo mtu anakurupuka tu. Diversity ya talents na ustadi vitatoka wapi? Hata uwe na kipaji namna gani bila kujizoesha na kuwezeshwa ni kazi bure. Tuwaunge mkono hata hawa wanaojitokeza kwa sababu angalau wamethubutu.

Ni mpaka pale tu tutakapoanza kuwa na utamaduni wa kutambua vipaji vikiwa vichanga na kuvipalilia, tutaendelea kupwaya katika maeneo mengi - michezo, sayansi na teknolojia, entertainment na nyanja zinginezo.
 
Show hii yaoneshwa CLOUDS na AZAM...lakini kawaida sanaa...

Nilitegemea makubwa sana na hii TV SHOW ambayo tumeitohoa kwa wenzetu huko kama America' got talent...

Nikategemea tutaona vipaji vya/vyenye maajabu...kama ambavyo tunaona maajabu tofauti ambayo vipaji vyake havipati UWANJA WA KUONEKANA KWENYE TV SHOWS KAMA BONGO STAR SEARCH...AU DANCE MIAMIA CHALLENGES...Kwa sababu vipaji hivyo sio vya huko...

Badala yake kwenye EAGT tunaona vipaji vilivyotawala ni SINGING, UIGIZAJI and DANCING(ambayo kwa sasa hivi ACROBATIC imo ndani yake).

Mwanzoni nilitegemea kuwa hapa ndipo WALE WANA MAZINGAOMBWE na WACHAWI kupiga pesa...wazungu wanaita MAGICS...

Hakuna kabisa jipya...TUMECHOKA KILA MAHALI KUIMBA IMBA KUCHEZA CHEZA SEREKASI...

NOTHING NEW...TUNAHITAJI MORE THAN NORMAL TALENTS...

THOUGH Mimi sijatoa hela yangu kumchangia KUSAGA na wenzake kuyaandaa mashindano...lakini I THINK HATA WENYEWE WANAONA HELA YAO INAENDA KWA KAWAIDA SANA...

Nyie maoni yenu ni gani...
ukosoaji ni kitu rais sana.
 
Elimu yetu Africa mashariki haipo kwa ajili ya kuandaa vipaji, Vile vipaji vya AGT havijaibuka tu km uyoga,viliandaliwa ktk mifumo yao ya elimu kuanzia low hadi high school and college
 
Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom