Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Matisho au matambo
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa mara kimetoa tamko na kusema hakiko tayari kushirikina na mkuu wa wilaya ya Tarime
kwa madai kuwa ameshindwa kutatua kero mbalimbali za wananchi.Kwa sababu hiyo chama hicho kimetoa siku 21 kwa kwa Rais Jakaya kikwete kumuondoa kiongozi huyo wa serikali wilayani tarime kabla ya kuitisha maandamano yenye lengo ya kumuondoa ofisini.
Maajabu, yanaendeleaaaaa!
Viva ccm, Viva Lumumba!
Utabiri wa Askofu Kakobe wa timia, CCM yaanza mnyukano...
Source p/se ?
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa mara kimetoa tamko na kusema hakiko tayari kushirikina na mkuu wa wilaya ya Tarime
kwa madai kuwa ameshindwa kutatua kero mbalimbali za wananchi.Kwa sababu hiyo chama hicho kimetoa siku 21 kwa kwa Rais Jakaya kikwete kumuondoa kiongozi huyo wa serikali wilayani tarime kabla ya kuitisha maandamano yenye lengo ya kumuondoa ofisini.
Maajabu, yanaendeleaaaaa!
Viva ccm, Viva Lumumba!
Mtazamo wangu:
Chama hiki kinakufa kienyeji sana, yani masuala yakumalizwa katika vikao vya ndani vya chama wao wanayageuza kuwa agenda za kisiasa kwa umma????
Kwawasiojua labda niwafahamishe kuwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ni makada wa ccm, pia ni wajume wa NEC mkoa na wila,
Hivyo suala la mkuu huyu lilitakiwa kumalizwa ndani ya vikao vya ndani vya chama kwa kuwa ni kada wao, na ni m nec wao.
Yaaani hawa badala ya kuelekeza Maandamano yao Kumng'oa Mwenyekiti wa Taifa ambaye Katibu Mkuu anamlaumu kwa kuteua Mizigo wanamuonea Mkuu wa Wilaya?Kama wana Nguvu hizo waelekeze Maandamano kwa Mwenyekiti wao ambaye ndio tatizo kubwa
By the way tuliposema wakuu wa Wilaya na Mikoa wanatakiwa Wafutwe wao walifikiria nini ?
Unauliza chanzo wakati unaona fika kuwa mimi ndie nimeileta hapa?
Kama huniamini mimi, je utamuamini usiyemuona?
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa mara kimetoa tamko na kusema hakiko tayari kushirikina na mkuu wa wilaya ya Tarime.
Wapi na nani katoa hiyo tamko ?
Mkuu uandishi wako muda mwingine hajakaa sawa na ni vizuri ukaliona hili ili jamii isifike mahali ikakosa habari kwa sababu tu ya mapungufu madogox2 ambayo naamini unaweza kuyaweka sawa ,kwa faida yako na Jamii unayoopigania!