Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa mara kimetoa tamko na kusema hakiko tayari kushirikina na mkuu wa wilaya ya Tarime
kwa madai kuwa ameshindwa kutatua kero mbalimbali za wananchi.Kwa sababu hiyo chama hicho kimetoa siku 21 kwa kwa Rais Jakaya kikwete kumuondoa kiongozi huyo wa serikali wilayani tarime kabla ya kuitisha maandamano yenye lengo ya kumuondoa ofisini.
Maajabu, yanaendeleaaaaa!
Viva ccm, Viva Lumumba!
Mtazamo wangu:
Chama hiki kinakufa kienyeji sana, yani masuala yakumalizwa katika vikao vya ndani vya chama wao wanayageuza kuwa agenda za kisiasa kwa umma????
Kwawasiojua labda niwafahamishe kuwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ni makada wa ccm, pia ni wajume wa NEC mkoa na wila,
Hivyo suala la mkuu huyu lilitakiwa kumalizwa ndani ya vikao vya ndani vya chama kwa kuwa ni kada wao, na ni m nec wao.