Maajabu ya CCM, waandaa maandamano kumpinga mkuu wa Wilaya Tarime

Yericko Nyerere

Verified Member
Dec 22, 2010
16,783
2,000
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa mara kimetoa tamko na kusema hakiko tayari kushirikina na mkuu wa wilaya ya Tarime

kwa madai kuwa ameshindwa kutatua kero mbalimbali za wananchi.Kwa sababu hiyo chama hicho kimetoa siku 21 kwa kwa Rais Jakaya kikwete kumuondoa kiongozi huyo wa serikali wilayani tarime kabla ya kuitisha maandamano yenye lengo ya kumuondoa ofisini.

Maajabu, yanaendeleaaaaa!

Viva ccm, Viva Lumumba!

Mtazamo wangu:

Chama hiki kinakufa kienyeji sana, yani masuala yakumalizwa katika vikao vya ndani vya chama wao wanayageuza kuwa agenda za kisiasa kwa umma????

Kwawasiojua labda niwafahamishe kuwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ni makada wa ccm, pia ni wajume wa NEC mkoa na wila,

Hivyo suala la mkuu huyu lilitakiwa kumalizwa ndani ya vikao vya ndani vya chama kwa kuwa ni kada wao, na ni m nec wao.
 
Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,946

Source p/se ?
 
SEBM

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
495
195
Mkuu Yericko,

Au ndiyo janja yao ili kumwokoa yule Kanjanja wa kutunga pamplets za kila somo aliyemwibiaga Mwalimu wake notes akaenda kutunga kitabu?

Yule mbunge wa Kmakorere, Nyamongo etc?

Ila haitawasaidia. Wananchi wa Tarime wameshaamua..
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,981
2,000
Hivi huyo DC wa Tarime siyo yupo kambi tofauti na hao wanaompiga juju?

Kambi za urais 2015 zitawatoa nyongo wengi.....

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
SEBM

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
495
195
Utabiri wa Askofu Kakobe wa timia, CCM yaanza mnyukano...

Askofu Mkuu Zakary Kakobe, alitoa unabii mkubwa sana. Na alisema laana itawakumbuka, akunukuu maandiko matakatifu. Magamba yanapukutika kama yale ya Mwaloni na Kigongo na Vic Fish yanavyopukutika.

Na bado....Waache wafu wawazike wafu wenzao..
 
Ben Saanane

Verified Member
Jan 18, 2007
14,595
2,000
Yaaani hawa badala ya kuelekeza Maandamano yao Kumng'oa Mwenyekiti wa Taifa ambaye Katibu Mkuu anamlaumu kwa kuteua Mizigo wanamuonea Mkuu wa Wilaya?Kama wana Nguvu hizo waelekeze Maandamano kwa Mwenyekiti wao ambaye ndio tatizo kubwa

By the way tuliposema wakuu wa Wilaya na Mikoa wanatakiwa Wafutwe wao walifikiria nini ?
 
palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,340
0
Source p/se ?

Maalim Chimpumu

Senior Member
Apr 29, 2014
125
0
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa mara kimetoa tamko na kusema hakiko tayari kushirikina na mkuu wa wilaya ya Tarime

kwa madai kuwa ameshindwa kutatua kero mbalimbali za wananchi.Kwa sababu hiyo chama hicho kimetoa siku 21 kwa kwa Rais Jakaya kikwete kumuondoa kiongozi huyo wa serikali wilayani tarime kabla ya kuitisha maandamano yenye lengo ya kumuondoa ofisini.

Maajabu, yanaendeleaaaaa!

Viva ccm, Viva Lumumba!

Mtazamo wangu:

Chama hiki kinakufa kienyeji sana, yani masuala yakumalizwa katika vikao vya ndani vya chama wao wanayageuza kuwa agenda za kisiasa kwa umma????

Kwawasiojua labda niwafahamishe kuwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ni makada wa ccm, pia ni wajume wa NEC mkoa na wila,

Hivyo suala la mkuu huyu lilitakiwa kumalizwa ndani ya vikao vya ndani vya chama kwa kuwa ni kada wao, na ni m nec wao.

CHAGADEMA Ikitokea mtu anamkosoa kiongozi wake huitwa msaliliti na hufukuzwa na hatimae Chama kinakufa kama kilivyokufa kile chama cha wachagga ( CHADEMA )

Lakini kwa CCM inaruhusu ukosoaji wa namna hii ili kuzidi KUJIIMARISHA kuendelea kushika dola na ndo mana CCM TUMETAWALA, TUNATAWALA na TUTAENDELEA kutawala JMT MILELE NA MILELE.

Sent Fron My Nokia Lumia 1520 Using Jamii Forum!.
 
Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,341
2,000
Yaaani hawa badala ya kuelekeza Maandamano yao Kumng'oa Mwenyekiti wa Taifa ambaye Katibu Mkuu anamlaumu kwa kuteua Mizigo wanamuonea Mkuu wa Wilaya?Kama wana Nguvu hizo waelekeze Maandamano kwa Mwenyekiti wao ambaye ndio tatizo kubwa

By the way tuliposema wakuu wa Wilaya na Mikoa wanatakiwa Wafutwe wao walifikiria nini ?

na huyo m/kiti ndiye aliyechagua wakuu wa mikoa na wilaya ikiwemo ya Tarime! Hivyo yeye ndiye bonge la mzigo!
 
Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,946
2,000
Unauliza chanzo wakati unaona fika kuwa mimi ndie nimeileta hapa?

Kama huniamini mimi, je utamuamini usiyemuona?Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa mara kimetoa tamko na kusema hakiko tayari kushirikina na mkuu wa wilaya ya Tarime.

Wapi na nani katoa hiyo tamko ?
Mkuu uandishi wako muda mwingine hajakaa sawa na ni vizuri ukaliona hili ili jamii isifike mahali ikakosa habari kwa sababu tu ya mapungufu madogox2 ambayo naamini unaweza kuyaweka sawa ,kwa faida yako na Jamii unayoopigania!

Yericko Nyerere

Verified Member
Dec 22, 2010
16,783
2,000
Wapi na nani katoa hiyo tamko ?
Mkuu uandishi wako muda mwingine hajakaa sawa na ni vizuri ukaliona hili ili jamii isifike mahali ikakosa habari kwa sababu tu ya mapungufu madogox2 ambayo naamini unaweza kuyaweka sawa ,kwa faida yako na Jamii unayoopigania!

Mkuu mbona ipo wazi kuwa ni ccm mkoa wa mara?

Wapi hujaelewa?

Mwenyekiti wa ccm mkoa mara,
Katibu mkuu wa ccm mkoa mara,

Wapi hujaelewa???
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom