Maajabu ya CCM, waandaa maandamano kumpinga mkuu wa Wilaya Tarime

CHAGADEMA Ikitokea mtu anamkosoa kiongozi wake huitwa msaliliti na hufukuzwa na hatimae Chama kinakufa kama kilivyokufa kile chama cha wachagga ( CHADEMA )

Lakini kwa CCM inaruhusu ukosoaji wa namna hii ili kuzidi KUJIIMARISHA kuendelea kushika dola na ndo mana CCM TUMETAWALA, TUNATAWALA na TUTAENDELEA kutawala JMT MILELE NA MILELE.

Sent Fron My Nokia Lumia 1520 Using Jamii Forum!.

Jeuri hiyo hawana tusubiri.waoga wa kuwajibishana badala ya kuandamana kuhoji hela za north mara au bilioni 200 waandamane kwa ajili ya mkuu wa wilaya upuuzi mtupu.
 
Mkuu mbona ipo wazi kuwa ni ccm mkoa wa mara?

Wapi hujaelewa?

Mwenyekiti wa ccm mkoa mara,
Katibu mkuu wa ccm mkoa mara,

Wapi hujaelewa???

Mkuu kumbe unaelewa kuwa CCM mkoa inawatendaji mbalimbali na vyeo tofautix2 hivyo huna haja ya kuongeza maswali rudi kwenye hoja yangu!. lakini kwa sababu za kuweka mjadala sawa na ni vizuri nikaongeza haya maswali.

Je hao wote wawili niwatoa tamko?
Je waliitisha waandishi wa habari na wewe ukashiriki ?
Au ulisikia habari mahali ?
Au ulipewa nakala ya Tamko ?
Au tamko ilitolewa kwanye Mkutano wa hadhara ambao wewe ulikwepo?
Au wewe u -moja wao?

Sijaona mahali kwenye habari uliyoweka maswali hayo yanapata majibu na kwa ridhaa yako naomba kuirejea!

Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa mara kimetoa tamko na kusema hakiko tayari kushirikina na mkuu wa wilaya ya Tarime

kwa madai kuwa ameshindwa kutatua kero mbalimbali za wananchi.Kwa sababu hiyo chama hicho kimetoa siku 21 kwa kwa Rais Jakaya kikwete kumuondoa kiongozi huyo wa serikali wilayani tarime kabla ya kuitisha maandamano yenye lengo ya kumuondoa ofisini.

Maajabu, yanaendeleaaaaa!

Viva ccm, Viva Lumumba!

Mtazamo wangu:

Chama hiki kinakufa kienyeji sana, yani masuala yakumalizwa katika vikao vya ndani vya chama wao wanayageuza kuwa agenda za kisiasa kwa umma????

Kwawasiojua labda niwafahamishe kuwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ni makada wa ccm, pia ni wajume wa NEC mkoa na wila,

Hivyo suala la mkuu huyu lilitakiwa kumalizwa ndani ya vikao vya ndani vya chama kwa kuwa ni kada wao, na ni m nec wao.
Last edited by Yericko Nyerere; Today at 17:23.​
 
CHAGADEMA Ikitokea mtu anamkosoa kiongozi wake huitwa msaliliti na hufukuzwa na hatimae Chama kinakufa kama kilivyokufa kile chama cha wachagga ( CHADEMA )

Lakini kwa CCM inaruhusu ukosoaji wa namna hii ili kuzidi KUJIIMARISHA kuendelea kushika dola na ndo mana CCM TUMETAWALA, TUNATAWALA na TUTAENDELEA kutawala JMT MILELE NA MILELE.

Sent Fron My Nokia Lumia 1520 Using Jamii Forum!.

Jumbe na mansuri himidi walikosea wapi?
 
Mkuu kumbe unaelewa kuwa CCM mkoa inawatendaji mbalimbali na vyeo tofautix2 hivyo huna haja ya kuongeza maswali rudi kwenye hoja yangu!. lakini kwa sababu za kuweka mjadala sawa na ni vizuri nikaongeza haya maswali.

Je hao wote wawili niwatoa tamko?
Je waliitisha waandishi wa habari na wewe ukashiriki ?
Au ulisikia habari mahali ?
Au ulipewa nakala ya Tamko ?
Au tamko ilitolewa kwanye Mkutano wa hadhara ambao wewe ulikwepo?
Au wewe u -moja wao?

Sijaona mahali kwenye habari uliyoweka maswali hayo yanapata majibu na kwa ridhaa yako naomba kuirejea!

Mkuu ili ujiridhishe wasiliana na Lumumba makao makuu au wasiliana na ccm mkoa mara.
 
Mkuu ili ujiridhishe wasiliana na Lumumba makao makuu au wasiliana na ccm mkoa mara.

Kwa hisani ya Dunia ya utandawazi!

kioju

CCM yampa JK siku 21 kumwondna mkuu wa wilaya ya Tarime
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa mara kimetoa tamko na kusema hakiko tayari
kushirikina na mkuu wa wilaya ya Tarime kwa madai kuwa ameshindwa kutatua kero
mbalimbali za wananchi.Kwa sababu hiyo chama hicho kimetoa siku 21 kwa
Rais Jakaya kikwete kumuondoa kiongozi huyo wa serikali wilayani tarime kabla ya
kuitisha maandamano yenye lengo ya kumuondoa ofisini.
Source ITV
 
Haya ni maajabu ya mwaka kwa CCM kumpa ultimatum mwenyekiti wao kama asipotekeleza ajiuzulu.
 
Huyo Mkuu wa wilaya ya Tarime hawamuwezi! Kama aliweza kuwadhulumu ndugu zake nyumba ya urithi na kwatishia maisha (kifo), vyombo vya dola vikamuogopa kumfikisha mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake, hao CCM wa Tarime wataweza mfupa uliomshinda FISI!
 
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa mara kimetoa tamko na kusema hakiko tayari kushirikina na mkuu wa wilaya ya Tarime

kwa madai kuwa ameshindwa kutatua kero mbalimbali za wananchi.Kwa sababu hiyo chama hicho kimetoa siku 21 kwa kwa Rais Jakaya kikwete kumuondoa kiongozi huyo wa serikali wilayani tarime kabla ya kuitisha maandamano yenye lengo ya kumuondoa ofisini.

Maajabu, yanaendeleaaaaa!

Viva ccm, Viva Lumumba!

Mtazamo wangu:

Chama hiki kinakufa kienyeji sana, yani masuala yakumalizwa katika vikao vya ndani vya chama wao wanayageuza kuwa agenda za kisiasa kwa umma????

Kwawasiojua labda niwafahamishe kuwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ni makada wa ccm, pia ni wajume wa NEC mkoa na wila,

Hivyo suala la mkuu huyu lilitakiwa kumalizwa ndani ya vikao vya ndani vya chama kwa kuwa ni kada wao, na ni m nec wao.

akili zako plus huyu mlevi pichani lazima tutalajie uandishi kama huu wa kiukawa

  • attachment.php

Hiyo inanikumbusha enzi hizo mwenyekiti wa ccm hata wa kijiji anampigia DC akiuliza nani mwenzangu anajibu chama kinaongea hahahaa walikuwa miungu watu
 
Mkuu yerico na wanajamvi wengine hasa nec ccm tafadhali tupieni updates za ultimatum alopewa mkuu wa wilaya tarime.
Ameshaondolewa?
Maandamano lini km bado hajaondolewa??
Maana kama nimemwona tarime vile anaendelea na kazi kama kawaida.

Updates updates tafadhali.

Cc: Ritz, msalani, faizafoxxy, and all pro ccm plus others
 
Back
Top Bottom