Maajabu ya bongo movie..


Kitekinolojia tumeachwa mbali kwani sisi Bongo tunatumia Camcorder while wenzetu wa magharibi wanatumia mitambo mounted with sophisticated Camera.
Ukilinganisha hapo utaona bongo movie bado iko miaka ya 40 enzi za Yomba yomba
 
Hivi jamani mbona watu mnapenda utani! Hivi utalinganisha Olympus has fallen na Nakwenda Kwa Mwanangu? Ama Strike back na Jumba la dhahabu? Give me a break hapana ni ndoto. Kwa bongo Movie wabadirishe story sio kila siku nakupenda
 
Ni kweli, lakini inahitaji kujipanga haswa, sio kazi za kulipua
 

kula like mkuu.umeongea point sana.yaani kiukweli bongo movie bado sana tena sana.
 
Una maana zile muvi ambazo muongoz wa filamu anatumia dakika 5 kutuonyesha star yuko barabarani.au unazungumzia zile muv ambazo jini kabla ajavuka barabara anatazama kushoto na kulia.movie ambazo ili usikie sauti iko juu au chini.movie zenye party one&2 bila hivo ni bahati kutokea ikawa party one 2.ukitaka hao wenye kumb za sinema walale njaa bas wajaribu kufanya hivo
 

Mkuu hapo umeongelea quality tu, vipi kuhusu hadithi (story yenyewe ya muvi)!! Story za muvi zetu karibia zote zinafanana, unataka kuniambia umasikini ndio unaowafanya washindwe hata kuwa wabunifu kutupa story za kusisimua??? Kila muvi ni mapenzi mapenzi mapenzi!!! Hawana jipya, alafu muvi zenyewe ziko predictable sana, yani ukoanza tu kuiangalia unajua itaishia vipi!!!
Tubadilike kwanza kabla ya kuanza kulazimisha zionyeshwe cinema halls.!! Mwisho wa siku ile ni biashara (cinema halls)..!!!
 
Siwezi kuangalia mtu anatembea au kufanya shopping 30min.hakuna movie bongo,no creativity zaidi ya ulimbukeni na ujinga.....to hell
 

Duuh.., sikuwaza hilo mkuu.., hivi inasababishwa na nini lakini.., watu wanakosa creativity kabisa, na hapo hatuwezi kusingizia umasikini.., yaan watu wanawaza mapenzi tuuuuu..., hakuna stoty nyingine. tusaidiane mawazo..
 

This made my morning. Huyo jini vipi Anagongeka na gari??? Daah.
 
Acheni dharau na utumwa,watanzani ni wanafki sana halafu wajuaji kuliko lkn kichwani 0, wanigeria waliaza hivi lkn walibeba chao na kukithamini kwa ubora uliokuwepo wakati huo mpaka wamefika walipo lkn hapa ni dharau tu
Si muziki c filamu humu mnaponda lkn tukiingia majumbani kwenu cd zipo tena fake ukiuliza utasikia za watoto hizo sijui wametoa wapi kumbe ww umewanunukia barabarani
Leo wanamuziki wa kenya na uganda ni mabilionea lkn hawana muziki mzuri kama wetu kinachowabeba ni watu wao kuthamini chao
Acheni dharau kwani hao mahouse girl na wamama wa nyumbani sio watu? Kuna mahouse girl wangapi tanzania wanaoweza kuifanya biashara ya cds fake iwe kwa wingi kama wao tu ndio watazamaji wa movie za kibongo
 
\

Duuh.., we ndo wakwanza kusapoti hoja. Nilijihisi kama nimeongea pumba. Ahsante.
 

Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Yaani nitoke nyumbani kwenda kuangalia movie mbovu kuliko nyanya iliyooza kisa eti ''nawaunga mkono'' wasanii wa nchi yangu? Mbona ukiumwa unakimbilia India na sio Muhimbili ili uwanyanyue madaktari wako ''? Hizi bongo movie zimekuwa ''design'' kuwafurahisha watu wenye viwango vya chini vya iq na si vingine!
 

Mi napokea michango.., hujatoa ushauri hata kidogo.., tufanyeje.., toa mawazo..
 


Narudia kama hao unaowaona mnaweza kwenda kuwatazama nyinyi wenye iq kubwa wangekuwa wanadharaulika hivyo kipindi wanapigana kusimama sijui wangalifikaje walipo lkn walibebwa na watu wao mpaka wamefika nyie endeleeni kila kitu kwa hisani ya watu wa marekani na ulaya na bado kulibeba gonjwa la museveni kwenye movie zenu
 
hizo takwimu za Bil. 12 umezipata wapi?
hakuna mtu mwenye akili timamu ataenda kuangalia Bongo Movie after all watazamaji wakubwa ni ma house girl

Kaka uko sawa 100%, ni ma house galz & wamama wa nyumbani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…