Pia kasema ataweka kamera katika maeneo muhimu kama mabenki kuzuia wizi. Wakati hela za ESCROW ziliibiwa mbele ya kamera za CCTV na yeye akiwa waziri mwandamizi. Poor Membe...?
Wenzake wanahimiza Watu waombee TAIFA ..yeye anasema Ana Baraka za mizimu? No wounder..
makofi kidogo kwa membe ilaaaaaa..,...............
Hapa Mpango-Mzima ni #MIZENGO_PINDA tu.
By then, nmeoteshwa kitu Fulani jana. Nyie subirini tu . Ni wakati mujjarabu kwa MTOTO-WA-MKULIMA
Wenzake wanahimiza Watu waombee TAIFA ..yeye anasema Ana Baraka za mizimu? No wounder..