Maajabu ya bata

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Posts
1,747
Reaction score
387
Umewahi kusikia hii:
eti ukiwa unamnyonyoa bata huku unaongea manyoya hayaishi.
Mi sijui kama ni kweli.
Wewe je?
 
Nilishachimbwa biti enzi hizo,wazee waliona u(m)kiongea maini yatachelewa.Hakuna cha kuota manyoya wala nywele.
 
mi nishawahi kuambiwa ukiongea wakati wa kula haushibi
 
BATA ni BATA hata ukimpa mkate bila maji atahara tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…