Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,802
Kwa haraka haraka ukitazama hiyo picha unaona nini? Je ukiitazama kwa makini unaona nini? Basi hayo ndio maajabu ya Allah
Angalia mikoa iliyojaa waislam, ..Mm muislam pure ila waislam mnatufanya tuonekane tuna elimu ndogi na hii AI inavokuja ndo tutazid kuonekana vilaza
Unajua maana ya hallucinations au umekariri tu mahali?Hallucinations
Maajabu ni nini kwanza?Kwa haraka haraka ukitazama hiyo picha unaona nini? Je ukiitazama kwa makini unaona nini? Basi hayo ndio maajabu ya Allah
View attachment 3425653
Kama kusoma hujui, hata picha huoni?Kwa hiyo hiko kipande cha lami kimejengwa na Allah?kweli katika watanzania wanne basi wanne Wana ugonjwa wa akili
Wewe ni maajabu gani ya Allah ulishawi kuyaona?Allah ana maajabu lakini sio haya man made
Barabara imetengenezwa hiyo
Angalia mikoa iliyojaa waislam, ..
Mtwara,Pwani,Tanga,Lindi.
Kule darasa la 7 n
Duh, kama wewe hata hilo hujui, basi hapa sio mahala pakoMaajabu ni nini kwanza?
Tuanzie hapo.
Jikite kwenye mada yakoWewe ni maajabu gani ya Allah ulishawi kuyaona?
Sio AI hiyo wewe acha ushambaWAISLAM MMEKIMBILIA KWENYE AI TENA.
Nipo kwenye mada yanguJikite kwenye mada yako
Hii nchi Haina msomi hata mmoja Kuna wanaojua kusoma, kuandika na kuongea kiingereza.Angalia mikoa iliyojaa waislam, ..
Mtwara,Pwani,Tanga,Lindi.
Kule darasa la 7 ni msomi
Basi ongelea ya kwako,yangu yaacheNipo kwenye mada yangu